Posts

Showing posts from December, 2017

BAD NEWS :Injury update: Man United star out for a month

Image
Manchester United striker Zlatan Ibrahimovic is set to be sidelined for a month as confirmed by boss Jose Mourinho. The Swede international did not feature at all during United's 0-0 draw with Southampton on Saturday evening, having been taken off at halftime during the midweek clash with Burnley. And Mourinho confirmed after Saturday's match that the former Sweden international will be out of action for a month due to a knee injury. - It is the same, a massive problem. He is a 37-year-old with a bad knee. Zlatan is one month out, said Mourinho. Ibrahimovic had only recently returned to the United team, after missing the first half of the season while he recovered from the serious knee injury he suffered in April. United are suddenly a little short of options in attack, leading goalscorer Romelu Lukaku having been stretchered off during the clash with Saints at Old Trafford after suffering a head injury.

MKEMIA MKUU: BABA WENGI WALIOPIMA DNA, WATOTO SIO WAO.

Image
Jumla ya sampuli 72,000 zimepimwa na Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) katika kipindi cha Januari hadi Desemba, mwaka huu na kati ya hizo, 1,177 zilikuwa za vinasaba (DNA) ili kutambua uhalali wa wazazi kwa mtoto na majibu yalibainisha kuwa baba wengi hawakuwa halali. Akizungumza na Mtanzania Jumapili ofisini kwake juzi, Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samwel Manyele, alisema idadi ya sampuli hizo za DNA zimepatikana katika majalada 338 yaliyowasilishwa katika kipindi cha Januari hadi Desemba, mwaka huu yaliyokuwa na lengo la kufanya utambuzi wa uhalali wa baba kwa mtoto, kesi za jinai, mirathi na utambuzi wa jinsi tawala za mtoto. “Katika upimaji wa sampuli za kutambua uhalali wa baba kwa mtoto kwa mwaka huu, baba wengi walikutwa si wazazi halali wa watoto waliokuwa wanalalamikiwa,” alisema. Profesa Manyele alisema idadi ya sampuli hizo kwa mwaka huu zimeongezeka ukilinganisha na mwaka jana ambazo zilikuwa 554 kati ya majalada 332. Chanzo- Mtanzania Jumapili ...

HABARI MPYA: RAIS KUSHITAKIWA MAHAKAMANI

Image
Mahakama ya Katiba nchini Afrika Kusini imebaini kwamba bunge la nchi hiyo lilishindwa kutimiza wajibu wake kwa kushindwa kumuwajibisha rais wa nchi hiyo Ndg. Jacob Zuma juu ya kesi iliyokuwa ikimkabili ya matumizi mabaya ya fedha za umma. Uamuzi huo wa Mahakama ya Katiba ukiongozwa na Jaji Chris Jafta nchini humo umeainisha kwamba bunge hilo ni lazima lianze mchakato wa taratibu za kumfungulia mashitaka ingawa haikuwa wazi kwamba mchakato huo utaweza kumuondoa madarakani kwa kupigiwa kura. Mahakama hiyo ilikuwa ikisikiliza kesi  iliyofunguliwa na kambi ya upinzani ambayo ilitaka bunge la nchi hiyo kuanza mchakato wa kumshitaki Rais Zuma. Rais Zuma anatuhumiwa kutumia fedha za umma kuendeleza makazi yake binafsi.

TRA KUMCHUNGUZA ASKOFU KAKOBE

Image
Siku chache baada ya kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Askofu Zachary  Kakobe kusema kuwa ana fedha nyingi kuliko Serikali, Mamlaka ya Mapato nchini TRA imejipanga kuanza kufuatilia ulipaji wake wa kodi. Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema mamlaka yake imeipokea kwa furaha kauli ya Askofu Kakobe na inataka kujiridhisha vyanzo vya utajiri huo. Kichere amesema TRA inafahamu kuwa shughuli za kidini hazitozwi kodi lakini inataka kufahamu kama fedha hizo za Askofu Kakobe zinatokana na sadaka pekee au kuna shughuli nyingine za kiuchumi. "Tumefuatilia hakuna kumbukumbu za Askofu Kakobe kulipa kodi, sasa tumeona tumfuate maofisa wetu wakajiridhishe kama fedha hizo anazozizungumzia zinatokana na sadaka," "Na kama hana shughuli zozote za kiuchumi ikiwa ina maana utajiri huo unatokana na sadaka ni jambo la kushtua kidogo lakini sisi tutaishia hapo," Amesema katika taarifa za mamlaka hiyo wapo watu wengi wenye fedha nyingi na k...

DR SHIKA ATANGAZA KUIHAMA TANZANIA 900)

Image
Dkt. Louis Shika ambaye amejipatia umaarufu baada ya kutangaza dau la kununua nyumba za Lugumi, amesema kwamba hivi karibuni anatarajia kwenda kusihi Marekani, baada ya Umoja wa Mataifa kumpandisha cheo. Akizungumza kwenye kipindi cha Weekend Breakfast cha East Africa Radio, Dkt. Shika amesema awali alikuwa anafanya kazi kwenye shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wakimbizi (UNHCR) na sasa amepandishwa cheo, hivyo hata ofisi zake hazitakuwa tena Nairobi nchini Kenya, kwani zitahamishiwa New York Marekani. “Sasa hivi nina mpango wa kusajili kampuni yangu halafu mimi nisepe, nikiwa hapa nchini nanyanyasika, nilikuwa nafanya kazi na Umoja wa Mataifa  Bara la Afrika, sasa ni world wide, ofisi itakuwa New York, nimepandishwa cheo, nafaya kazi ofisi ya UNHCR. “Hata mama Kevela alipogundua mimi ni balozi akasema nyinyi ndio mnaoongoza nchi hii, na watu wajue kuwa uteuzi wangu haukutokea Tanzania, nimeteuliwa kwa veto power, hizi ziko tano kwenye umoja wa mataifa, ...

GOOD NEWS KWA WATUMIAJI WASIMU TCRA YAPUNGUZA GHARAMA ZA KUPIGA SIMU

Image
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), yashusha gharama za kupiga simu kutoka shilingi 26.96 kwa dakika moja hadi shilingi 15.60 kuanzia 2018. Mkurugenzi wa TCRA James Kaliba amesema kuwa gharama hizo zitaendelea kupungua kadiri miaka inavyozidi kwenda kama ambavyo imeanishwa hapa. Gharama za mwingiliano zitakazotozwa kwa dakika na mwaka kwenye mabano ni Sh15.60 (Januari Mosi, 2018), Sh10.40 (2019), Sh5.20 (2020), Sh2.60 (2021) na Sh2.00 (2022). Viwango hivyo vimepungua kulinganisha na miaka mitano iliyopita ambayo gharama zake za mwingiliano zilizokuwa zikitozwa kwa dakika na mwaka wake kwenye mabano ilikuwa Sh34.92 (2013), Sh32.40 (2014), 30.58 (2015), Sh28.57 (2016) na Sh26.96 (2017). Hata hivyo amesema kuwa kampuni za simu zimekuwa na kigugumizi kukubaliana na viwango hivyo na kuingia mikataba ya mwingiliano kwa sababu ya masilahi ya kibiashara hivyo TCRA ililazimika kuingilia kati na kuvipangia kwa kufuata utaratibu kama ilivyoainishwa katika sheria namba 12 y...

Agizo la Waziri Nchemba kama huna kitambulisho cha utaifa

Image
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi wa Tanzania kujiandikisha kupata kitambulisho cha Taifa kwani si zoezi la hiari na kwamba ni lazima kwa mtanzania aliyeko ndani ya mipaka ya nchi ili kutambuliwa. Amesema hayo akizindua zoezi la kujiandikisha kupata kitambulisho  cha Taifa na kugawa vitambulisho katika Mkoa wa Ruvuma na kukagua zoezi hilo linaendaje kwa mikoa ya Nyanda za Kusini hasa iliyoko mipakani mwa nchi. Waziri Nchemba amewataka wananchi waache mazoea ya kutafuta kutambuliwa mpaka wanapokuwa na shida hasa za kutaka hati ya kusafiria au migogoro ya ardhi pale anapoambiwa yeye si raia wa Tanzania. Mh. Nchemba amewagiza viongozi wa wilaya na vijiji kutokuunganisha zoezi la kuandikisha wananchi kupata vitambulisho vya uraia na zoezi lingine lolote akitolea mfano baadhi ya viongozi kuchangisha fedha za kijiji kwa kuwaambia kuwa hutopata kitambulisho mpaka utakapo lipa fedha unazo daiwa na kijiji. "Hili zoezi...

Juve to sell Chelsea and Man United target in January

Image
  It is reportedly Italian side Juventus will sell Alex Sandro if they receive bids of £53 million next month. The Manchester United and Chelsea target is believed to be keen on leaving Juve for a Premier League switch next summer. According to reports, Sandro is likely to be granted his wish at the end of the season. But the 26-year-old could be on the move sooner than expected if Juventus receive acceptable bids in January. The current Serie A champs are apparently preparing for a mass clear-out after losing their dominant grip on the league. Regulars such as Stefano Sturaro and Kwadwo Asamoah are likely to be culled along with veteran Stephan Lichtsteiner while Gigi Buffon plans on retiring for good after the 2018 World Cup.

Transfer news: Chelsea ready to beat Spurs in January

Image
  Chelsea are leading the race to sign England international Ross Barkley from Everton during the January transfer window. Blues boss Antonio Conte was hoping to bring Barkley to Stamford Bridge last summer and launched a deadline day move to secure his signature. Barkley was interested in the switch but decided to turn Chelsea down as he wanted to regain his fitness before making such a major decision over his future. He is yet to play a game during the 2017-18 campaign and will be out of contract come the summer but Chelsea are nevertheless hoping to finally bring him to west London next month. Tottenham have also been keeping tabs on Barkley but would rather sign him as a free agent, putting Chelsea firmly in the driving seat ahead of the January transfer window. It is claimed both Chelsea and Everton, who have moved into the top-half of the table under Sam Allardyce, hope Barkley’s future is resolved in early January to avoid another saga running through th...

Kikosi cha Simba Vs Ndanda, Djuma afanya mabadiliko makubwa

Image
Kocha Mrundi Masoud Djuma amefanya mabadiliko makubwa katika kikosi cha Simba SC ambacho kitacheza na Ndanda FC katika muendelezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara. Katika mabadiliko hayo Kocha Djuma amewaanzisha kiungo Mohamed Ibrahim 'MO' pamoja na kinda Paul Bukaba ambaye atacheza katika nafasi ya ulinzi. Aidha Pacha wawili Jonas Mkude pamoja na James Kotei kwa pamoja wameanza huku safu ya ushambuliaji ikipambwa na mkongwe John Bocco pamoja na Juma Luizio. Wanaoanza:  Aishi Manula, Paul Bukaba, Erasto Nyoni, James Kotei, Juuko Murshid, Jonas Mkude , Shiza Kichuya, Mzamiru Yassin, John Bocco, Juma Luizio na Mohamed Ibrahim Akiba : Emanuel Mseja, Hussein Mohamed, Jamal Mwambeleko, Yusuph Mlipili, Said Ndemla, Nicholas Gyan na Moses Kitandu. Mchezo huo unatarajiwa kufanyika katika Dimba la Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.

Transfer news : Inter Milan monitoring Manchester United star

Image
  According to reports from Italy, Inter Milan are carefully following Henrikh Mkhitaryan's situation at Manchester United. United boss Jose Mourinho confirmed in November that the Armenia international attacking midfielder had been dropped because he was unhappy with the player's performances. He has not started a Premier League game for United since the defeat at Chelsea on November 5 but played the entire second half in the 2-2 draw with Burnley last time out.  Sky Italia  reports that, Mkhitaryan has been offered an escape route by Serie A title-challengers Inter Milan. Luciano Spalletti's side are monitoring a number of midfielder targets including Javier Pastore and Gerard Deulofeu. As for Mkhitaryan, he may be hoping to save his place at Old Trafford in similar fashion to team-mate Luke Shaw. The United left-back looked destined to leave the club after falling out with Mourinho.

Mambo 10 ambayo ni Sumu katika Mapenzi

Image
KATIKA harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwa sababu moja au nyingine anakwondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa. Si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unaosababisha ufanye mambo yasiyo ya kawaida. Pengine ndiyo maana baadhi ya wasanii huzungumzia suala la “kudata” kutokana na mapenzi. Ni jambo jema kudhani kuwa wewe na mpenzi wako mnapendana kwa dhati na kwamba kila mmoja amefika kwa mwenzake, lakini kama mojawapo ya mambo haya kumi yaliyoelezwa hapa chini litajitokeza, basi fahamu kuwa yamkini umependa kuliko kawaida, yaani ni kama umenyweshwa sumu ya penzi. Kumbuka kupenda ni kuzuri, lakini kupenda kupindukia kunaweza kukutumbukia nyongo, kwani katika kila jambo kinahitajika kiasi. 1. WIVU WA KUPINDUKIA Ni jambo jema kwa mwanamume kumtakia heri mpenzi wake na kufanya kila awezalo kuhakikisha kuwa hapati madhara, lakini iwapo utakuwa mtu wa wasiwasi na ma...

Afya: Madhara ya Unene ulio pitiliza

Image
Unene(obesity), ni ugonjwa unaokua kwa kasi kipindi hiki ukiambatana na madhara makubwa kiafya hata vifo. Unene hupimwa kwa kutumia kipimo kinachotambulika kitaalamu kama BMI (yaani uzito kwa Kilogram kugawa kwa urefu kwa mita mara mbili). Tatizo la unene uliopindukia huweza kusababisha mhusika kutengwa katika jamii, kubaguliwa, kudhihakiwa hata kunyanyapaliwa hivyo kuleta madhara kisaikologia kwa mgonjwa. Sababu za unene uliopindukia ni pamoja kurithi. Mtoto aliyezaliwa na wazazi wanene,ana asilimia 80 ya kuwa mnene,aliyezaliwa na wazazi wembamba, ana asilimia 10 ya kuwa mnene. Utamaduni na ukosefu wa nidhamu katika vyakula, pia unachangia unene uliopindukia. Mfano; kuna ongezeko kubwa la watoto na vijana wanene kwa sasa mijini kuliko vijijini. Madhara yaletwayo na unene uliopindukia ni mengi, lakini kwa uchache ni pamoja na kulika kwa jointi hasa za miguu, maumivu kiunoni na katika nyonga, shinikizo la damu,kisukari, pia kukosa usingizi kutokana na kubanwa kwa hewa. ...

KPL: AFC Leopards in talks with ex Gor Mahia midfielder

Image
  AFC Leopards is closing in on former Gor Mahia midfielder Collins 'Gatusso' Okoth ahead of 2018 Kenyan Premier League season, the club has confirmed . The combative midfielder has been club-less since June 2017 when he was released by Gor Mahia and he could now reunite with coach Robert Matano whom he worked with at Tusker FC in 2012 after Ingwe confirmed that it's in talks with the dimunitive midfielder over a move to the club. Talks -Nothing has been agreed on just yet. He is a player the coach wants and we are talking to him, we hope to reach an agreement soon, chairman Dan Mule told Futaa.com. Gatusso has also played for Sofapaka and Tusker FC.

TRANSFER NEWS: Barcelona star threatens to QUIT if Coutinho joins Barca

Image
Gerard Deulofeu doesn’t want the club to sign Liverpool talisman Philippe Coutinho. The Brazil international has been heavily linked with a move to the Nou Camp in recent months. Barca tabled three bids for the playmaker in the summer, who handed in a transfer request in hope of forcing through a dream move to La Liga. However, the Reds held firm and kept hold of their key man, and he has netted 13 goals and chipped in with eight assists in all competitions this campaign. Barca is expected to return to Coutinho, 25, in the January transfer window, with a mammoth bid readied. However, according to Spanish transfer outlet  Don Balon , Deulofeu doesn’t want Coutinho at the Nou Camp. The former Everton star knows the arrival of the Liverpool man will reduce his game time even more.

TRANSFER NEWS EPL: Hazard to Man United?

Image
Chelsea star Eden Hazard has rejected a new deal to stay at the club, his father has confirmed. The Belgian has two-and-a-half-years to run on his existing deal at Stamford Bridge but the Blues are keen to extend his contract and give him improved terms. The 26-year-old has been heavily linked with a move to Real Madrid in the last 18 months and more recently Manchester United are reported to be ready to break the British transfer record to sign the former Lille man. Chelsea are willing to make Hazard the best paid player in the club’s history but the winger’s father has confirmed his son turned down Chelsea’s opening offer. -He has rejected a contract offer, confirmed Thierry Hazard to Le Soir. Hazard has repeatedly spoken about his affection for Real Madrid boss Zinedine Zidane and even joked he could ‘speak to Chelsea’s board’ about appointing the Frenchman last month. However, Hazard’s father maintains there’s been no contact with the La Liga giants. Manchester United boss Jo...

HAYANDIYO MATUKIO YAKUSTAAJABISHA ZAIDI 2017 AFRIKA, DOCTA SHIKA YUMO,

Image
Haki milhya picha AFP Matukio mengi ya kukumbukwa yalitokea mwaka 2017 yakiwemo kujiuzulu kwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe na mabadiliko sambamba katika nchi za Gambia na Angola. Isisahaulike kufutwa kwa uchaguzi wa rais nchini Kenya ,kitendo kilichofanyika kwa mara ya kwanza Afrika. Pia tumeripoti kuhusu majanga na ubunifu - lakini hizi ni baadhi ya habari za kushangaza kwa mwaka 2017. 'Githeri Man' Mwanaume mmoja Mkenya aliyepigwa picha akitafuna 'githeri' chakula cha mahindi na maharagwe, wakati wa uchaguzi, alijipatia umaarufu mkubwa. Image caption Mwanaume huyu ambaye aliongolewa sana na vyomvo vya habari Kenya Githeriman, ambaye kwa jina lake halisi anaitwa Martin Kamotho, alivuma wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya tarehe nane mwezi wa nane alipoonekana kwenye mitandao ya kijamii akila chakula cha maharagwe na mahindi yakiwa ndani ya mfuko wake wa plastiki. Bw Kamotho anajulikana sana kama "Githeri Man" alivuma sana kwenye mitandao ya jami...