Posts

Showing posts from February, 2017

Ligi kuu bara itaendelea hivi

Image
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea keshokutwa Jumatano ambako mabingwa watetezi wa taji hilo, Young Africans itaalikwa na Ruvu Shooting kwenye mchezo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mbali ya mchezo huo mmoja kwa siku ya Jumatano, ligi hiyo ambayo ni michuano mikubwa nchini, itaendelea mwishoni mwa wiki hii ambako kwa siku ya Jumamosi Machi 4, mwaka huu Simba itacheza na Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ukiacha mchezo huo, michezo mingine ya Jumamosi Machi 4, mwaka huu itakuwa ni kati ya Toto Africans na Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza huku Kagera Sugar ikiikaribisha Majimaji ya Songea kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Azam FC pia itacheza Jumamosi Machi 4, mwaka huu na Stand United ya Shinyanga kwenye Uwanja wa Chamazi. Mchezo huo utaanza saa 1.00 jioni wakati mechi nyingine zitaanza saa 10.00 jioni. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limerejesha tena mechi za Ligi Kuu kwenye Uwanja wa Jamhuri...

Goli la Kichuya lilivyo sababisha kifo cha shabiki

Image
Shabiki wa Simba, mfanyakazi wa Hoteli ya Protea alianguka na kupoteza maisha baada ya Shiza Kichuya kufunga bao la pili dhidi ya Yanga. Simba ilitoka nyuma kwa bao moja, ikafunga mawili kupitia Laudit Mavugo na Kichuya na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1. Suleiman Victor alikuwa akisikiliza mpira kupitia redio ya EFM, alianguka na kupoteza maisha wakati akishangilia. Wafanyakazi wenzake walijitahi kumuwahisha katika Hospitali ya Tumaini enero la Upanga, lakini tayari alipoteza maisha. Msemaji wa TFF, Alfred Lucan naye alithibitisha hilo. “Ni kweli tumepata taarifa za shabiki huyo, ni taarifa za masikitiko. Tumeelezwa baada ya kuanguka wakati anashangilia, aliuathiri ubongo wake,” alisema. Bao la Kichuya lilifungwa katika dakika ya 81 baada ya kutokea pembeni mwa uwanja na kuachia mkwaju mkali. 27 Feb 2017

Diego Alberto Maradona crazy soccer styles

Image

Top 10 Amazing magic complilation 2017

Image

how devils can cause an accident

Image

Highlight simba vs yanga FT SIMBA 2 YANGA 1

Image
mchezo huo uliopigwa dimba la taifa ulianza kwa taratibu kila timu ikijihami .Lakini mambo yalienda kombo kwa dakika ya tano baada ya Novatius Lufunga kusababisha penati iliyo wekwa kambani na Simon Msuva , mabadiliko ya kipindi chapili , alipoingia Mkude, Å„a kichuya yalizaa matunda bada ya mchezaji kichuya kuhusika katika goli zote mbili moja krosi maridhawa iliyofungwa na MAVUGO, dakika chache baadaye akafunga tena shujaa huyu wa simba SHIZA RAMADHANI KICHUYA hadi mpira  unaisha simba 2 yanga 1  ikumbukwe kuwa simba walicheza pungufu baada ya BUKUNGU  kutolewa kwa kadi nyekundu

Highlights: SIMBA vs YANGA Ft 5 - 0 may 12 /2012

Image
Kama ulipitwa na kile kipigo cha tano ,sifuri simba vs yanga , jikumbushie hapa

Video: scenes from serenget national park in Tanzania

Image

Video: scenes from serenget national park in Tanzania

Image

Wow :Amizing children catch biggest snake with bare hands

Image
Click click video

MANJI : kumekucha tigo stori zaidi soma hapa kuhusu manji na umiliki wa tigo

Image
Siku moja baada ya kampuni ya Tigo kuanza kuhaha mitandaoni ikikanusha kuwa kampuni hiyo haimilikiwi na kampuni ya Golden Globe inayomilikiwa na mfanyabiashara Yusuf Manji, Nankaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesimamisha mchakato wa kuingiza hisa za Tigo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE). Jana kulisambaa taarifa mitandaoni, Tigo ikipinga kwamba Tigo inamilikiwa na Manji. Hii ikiwa ni baada ya vyombo vya habari kueleza mfanyabiashara huyo alivyonunua kampuni hiyo namba mbili kwa ukubwa kwa zile za mawasiliano nchini. Kawaida kampuni hutakiwa kujisajili kwa asilimia 25 ya hisa zake, hii ni kwa mujibu wa sheria. Hadi sasa kuna kesi mahakamani, Golden Globe ya Manji ambayo iliinunua kampuni hiyo ilipopigwa mnada na Milcomn Tanzania NV ambao walikuwa wamiliki wa awali. Kwenye mnada uluiofanywa chini ya usimamizi wa mahakama, Golden Globe iliinunua kampuni hiyo kwa asilimia 99, hivyo kumfanya Manji awe mmiliki mwenye hisa zote kasoro moja tu. Msemaji wa CMSA, Charles Shir...

TCU :ORODHA YA WANAFUNZI WASIO NA SIFA KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU

Image
TCU: ORODHA YA WANAFUNZI WASIO NA SIFA KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU 2016/2017 TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA  TAARIFA KWA UMMA WANAFUNZI WASIO NA SIFA KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inautangazia Umma kuwa zoezi la uhakiki wa sifa za wanafunzi wanaondelea na masomo kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu nchini kwa mwaka 2016/2017 limekamilika katika baadhi ya vyuo. Katika kutekeleza zoezi hilo Tume imebaini kuwa kuna wanafunzi ambao wamedahiliwa katika programu ambazo hawana sifa. Orodha ya wanafunzi wasio na sifa imeshawasilishwa kwenye vyuo husika. Hivyo, wanafunzi wote wanaondelea na masomo kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu nchini wanaweza kutazama matokeo ya uhakiki wao kupitia kiunganisho (link) (Bonyeza Uhakiki wa Sifa za Udahili). Tume inawaarifu wanafunzi wote ambao majina yao yameorodheshwa wawasiliane na vyuo vyao ili kuthibitisha sifa zao kabla ya tarehe 28 Februari 2017. Wanafunzi ambao hawatafanya hivyo hawatatambuliwa na Tume na hivyo kukosa sifa za uanafunz...

Zile dakika 30 alizo pewa Mavugo kuituliza yanga zipo namna hii

Image
Kikosi cha vinara wa Ligi Kuu Bara kinaendelea kujifua vilivyo kisiwani Unguja kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaofanyika Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na vita iliyopo kati ya timu hizo ya kuwania ubingwa wa ligi kuu msimu huu ambapo mpaka sasa Simba ndiyo ipo kileleni ikiwa na pointi 51 wakati Yanga ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 49. Hata hivyo, ili kuhakikisha Simba inaibuka na ushindi katika mchezo huo, kocha mkuu wa timu hiyo, Mcameroon, Joseph Omog amemtengea dakika 30 za mazoezi ya kufunga kila siku, mshambuliaji wake raia wa Burundi, Laudit Mavugo ili aiangamize Yanga. Katika mazoezi ya timu hiyo huko Unguja, Omog amekuwa akimfua Mavugo pamoja na washambuliaji wengine wa timu hiyo kwa dakika 30 kila siku akiwapatia mbinu mbalimbali za kuzifumania nyavu kabla ya kuanza mazoezi ya pamoja na kikosi kizima. Akizungumza na Championi Jumatatu, Omog alisema kuwa amekuw...

Hatari ! :Zile dakika 30 alizilo pewa mavugo kuibamiza yanga mapema, zipo namna hii

The Full history :World war 2 :video

Image
The second world war (WW2) full history about the war click the video

Top gear bugatti vs jet fighter

Image
Click video

Video mchina akitongoza demu wa kibongo

Image
Mchina anaswa akitongoza demu wa kibongo maeneo ya ubungo , 

Ikiwa ulipitwa na awamu ya Tatu ya makonda jana nimekuwekea hapa

Ikiwa ulipitwa na awamu ya tatu ya Orodha ya makonda jana , nimekuwekea kila kitu hapa mtu wangu , angalia video,

Angalia athari za matumizi ya madawa ya kulevya

Image
Kila mtanzania analo jukumu la kupinga utumizi na matumizi ya madawa ya kulevya kutokana na athari zake kama inavyo onekana katika video

Leo isiishe bila kucheka ugumu wa kutongoza ulivyo mponza huyu kijana KIM...

Image

 TODAY IS THE VERY SPECIAL DAY TO THE FAMILY OF DIAMOND PLATNUMZ BECAUSE THEY ARE GOING TO CELEBRATE THE " PRINCE NILLAN 40" 

Image
TO CELEBRATE THE " PRINCE NILLAN THE SON OF DIAMOND PLATNUMZ >>> PRINCE NILLAN 

Kama ulipitwa na hii ya huyu mwanamke aliye vunja ukimwa kwa magufuli

Image

Aibu, denti wakike akifanya vitu vya ajabu kila kitu nje

Image

Aibu kubwa madenti wanaswa live wakifanya uchafu darasani

Image

MIX CHADEMA mchana huu baada ya Mbowe kutajwa kwenye orodha ya Makonda 

Image
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo February 8 2017 ametangaza kuiachia orodha ya Watu 65 wanaotuhumiwa kwa biashara ya dawa za kulevya ambapo amemtaja pia Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ndani yake. Dakika chache baada ya kumtaja, CHADEMA Makao makuu Dar es salaam walikutana na Waandishi wa habari na kusema yafuatayo >>> “Kimsingi katika majina mengi yaliyotajwa kuna jina la Mwenyekiti wa chama Mbowe, swala la utetezi wake au maelezo hilo ni swala binafsi sababu kilichotajwa ni jinai lakini kimsingi tunachukua nafasi hii kulaani“ “Tunalaani jinsi tusivyoweza kuendesha utawala wa sheria kwenye nchi yetu na jinsi tusivyofata kanuni zilizowekwa dhidi ya sheria, Mh. Mbowe ni kiongozi wa kitaifa, ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ni Mbunge wa Hai…. kwahiyo kuna taratibu za kufata unapokua na kusudio la kumuita“ ‘Kitendo cha kwenda kuongea kwenye mkutano na Waandishi wa habari na kutaja viongozi wakuu wa kitaifa ambao wana tuhuma tu ambazo hazijathibiti...

Fasihi simulizi ya kiafrika

Fasihi simulizi ya kiafrika

Image
massheleemanuel@gmail.com By Glory mushy FASIHI SIMULIZI YA KIAFRIKA Fasihi Simulizi ni nini? Wataalamu mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu maana ya FS. Miongoni mwao ni Finnegan (1970), Matteru 1979), Balisidya (1983), Okpewho (1992) na wengineo wengi. Ili kuweza kubaini maana ya FS ni vema kudurusu fasili zilizotolewa na wataalamu hawa. Lengo hasa ni kutaka kufahamu ubora na udhaifu wa fasili zao, hatimaye tuweze kuunda fasili muafaka zaidi kuhusu maana ya FS. F.S yaweza kuelezwa kwamba, hutegemea msanii ambaye huiumba kwa maneno katika tukio maalum (Finnegan, 1970) Ni fasihi inayotegemea mdomo ktk kutolewa na kuenezwa kwake… (M.L.Matteru, 1979) Ni aina ya fasihi ambayo hutumia mdomo katika kuumbwa, kuwasilishwa na kusambazwa kwa waasikilizaji na watumiaji waake (Balisidya, 1983) F.S humaanisha fasihi itolewayo kwa neno la mdomo… (Okpewho, 1992) F.S ni kazi ya sanaa inayotumia lugha kazi hii ya sanaa huhifadhiwa kwa kichwa na kusambazwa kwa njia ya masimulizi ya...