Highlight simba vs yanga FT SIMBA 2 YANGA 1
mchezo huo uliopigwa dimba la taifa ulianza kwa taratibu kila timu ikijihami .Lakini mambo yalienda kombo kwa dakika ya tano baada ya Novatius Lufunga kusababisha penati iliyo wekwa kambani na Simon Msuva , mabadiliko ya kipindi chapili , alipoingia Mkude, ńa kichuya yalizaa matunda bada ya mchezaji kichuya kuhusika katika goli zote mbili moja krosi maridhawa iliyofungwa na MAVUGO, dakika chache baadaye akafunga tena shujaa huyu wa simba SHIZA RAMADHANI KICHUYA hadi mpira unaisha simba 2 yanga 1 ikumbukwe kuwa simba walicheza pungufu baada ya BUKUNGU kutolewa kwa kadi nyekundu
Comments
Post a Comment