Posts

Showing posts from July, 2016
Wayahudi katika Historia - Somo la 13 Wayahudi katika Historia - Somo la 13 Submitted by CarlHinton on Sun, 04/06/2014 - 17:23 SOMO LA 13 MASOMO YA WAKRISTADELFIA KWA NJIA YA POSTA   WAYAHUDI KATIKA HISTORIA (Sehemu ya 1)   SOMO: Mwanzo 37   Mwanzo wa historia yao Habari za Wayahudi zinaanza hasa ni yule mtu mmoja aliyekuwa mtu wa imani sana, aliyeitwa Ibrahimu. Alipata mtoto wa kiume wakati wa uzee wake, aliyeitwa Isaka, na Isaka akawa na mwana aliyemwita Yakobo, aliyepewa jina la Israeli baadaye. Yakobo alipata wana kumi na wawili wa kiume, ambao ni mababa wa makabila kumi na mawili ya Israeli.   Mwana wa kiume wa pili kutoka mwisho aliitwa Yusufu, na historia ya maisha yake tunayoipata kwenye Biblia ni ya kusisimua wakati wote tunapoisoma. Lakini ni zaidi ya kuwa historia; inatupa simulizi juu ya matukio muhimu kuhusiana na watu wa Biblia, Wayahudi. Ndani yake tunapata kielelezo cha ajabu cha vile mkono wa Mungu unavyoyaongoza masuala yanayohusu watu wake.   Tunaweza kukumbuka vile ...

High blood pressure

LIJUE TATIZO LA HIGH BLOOD PRESSURE     Watu wengi wanasumbuliwa na tatizo la mgandamizo wa damu kuwa mkubwa na kwa lugha nyepesi ya mtaani watu huliita tatizo hili – blood pressure. Katika ukurasa wetu wa leo tumedhamiria kueleza nini maana ya mgandamizo wa damu kuwa mkubwa (high blood pressure), dalili ambazo ukiziona ujue kuwa unanyemelewa na tatizo hili, namna ya kupima mgandamizo wa damu na tiba ambazo unaweza kutumia pale itakapobainika pasi shaka kuwa una tatizo hili la high blood pressure. Kwanza tuwekane sawa kuwa msukumoo wa damu ni muhimu kwa maisha yetu, bila kuwepo na msukumo wa damu wa kuifanya damu izunguke ndani ya miili yetu, hewa ya oksijeni na virutubisho havingeweza kupita kwenye ateri na kuvifikia viungo vya miili yetu. Sasa msukumo huu wa damu unaweza kuwa mkubwa mno (Hypertension), au mdogo mno kuliko inavyostahili na hapo ndipo tunasema kuna tatizo. Kuna kipimo kinachotakiwa ili kuziwezesha chembechembe za damu, zikiwemo chembechembe za damu nyeupe kwa ajil...

Sikoseli

▼ Sunday, November 1, 2015 UFAHAMU UGONJWA WA SIKOSELI NA MATIBABU YAKE.[SICKLE CELL ANAEMIA]                                                                      sickle cell ni nini? huu ni ugonjwa wa kurithi wa kupungukiwa damu, ambapo mgonjwa hua hana damu ya kutosha kwa sababu ya seli zake za mwili sio imara kubeba hewa ya oksijeni kupeleka sehemu mbalimbali za mwili. kwa hali ya kawaida seli za binadamu hua na umbo la kama yai na linalovutika kiasi kwamba huweza kupita kirahisi kwenye mishipa ya damu na seli hizo huishi siku 120 yaani miezi mitatu kisha hufa kupisha zingine lakini seli za mgonjwa wa sikoseli ni ngumu yaani zipo kama shepu ya  mwezi, huishi siku ishirini tu, na huweza kukwama kwenye mishipa ya damu na kuzuia damu kupita na hichi ndio chanzo kikuu cha matatizo.wagonjwa hawa husumbuliwa na mashambulio ya maumivu mara kwa mara sababu ya kukwama kwa seli hizo na kuzuia oksijeni kwenda sehemu za viungo vya mwili. chanzo cha ugonjwa huu ni nini? ugonjwa huu husababi...

Pneumonia rumonia

Pneumonia is a form of acute respiratory infection that affects the lungs. The lungs are made up of small sacs called alveoli, which fill with air when a healthy person breathes. When an individual has pneumonia, the alveoli are filled with pus and fluid, which makes breathing painful and limits oxygen intake.Pneumonia is the single largest cause of death in children worldwide. Every year, it kills an estimated 1.2 million children under the age of five years, accounting for 18% of all deaths of children under five years old worldwide. Pneumonia affects children and families everywhere, but is most prevalent in South Asia and sub-Saharan Africa. Children can be protected from pneumonia, it can be preventedwith simple interventions, and treated with low-cost, low-tech medication and care Causes Pneumonia is caused by a number of infectious agents, including viruses, bacteria and fungi. The most common are: Streptococcus pneumoniae – the most common cause of bacterial pneumonia in chil...

Kifafa

HUU NDIO UKWELI KUHUSU UGONJWA WA KIFAFA NA MATIBABU YAKE..[EPILEPSY}                                                                                             Ugonjwa wa kifafa ni nini? Huu ni ugonjwa amabao unasabababishwa na seli za mishipa ya fahamu zilizopo kwenye ubongo  kutoa umeme[impulses] mwingi kuliko kawaida kwenda kwenye misuli na sehemu zingine za mwili, na matokeo yake mtu huanza kupata degedege ya mwili mzima, kukakamaa, kuanguka chini na kupoteza fahamu.. mwaka 2013 ugonjwa huu uliua zaidi ya watu laki moja duniani, 80% wakiwa waafrika. Mgonjwa huyu huweza kuanguka mara kadhaa kwa mwezi lakini anaweza asianguke kabisa kama anafuata masharti na utaratibu mzuri wa matibabu…  Chanzo cha ugonjwa huu ni nini? chanzo kikuu cha ugonjwa huukwa watu wengi hua hakifahamiki lakini baadhi ni moja ya sababu za kuugia kifafa. Kurithi; familia na koo zingine zinakua na ugonjwa huu hivyo watoto na wajukuu huzaliwa tayari na ugonjwa huu. Kuumia kichwa: ajali zinazohusisha kuumia k...

MASUA: Shambulizi la Moyo (Heart Attack)

MASUA: Shambulizi la Moyo (Heart Attack) : Nchi zinazoendelea zinakabiriwa na ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukizwa.  Hali hii inaongeza mzigo katika mfumo wa afya ambao umeel...

MASUA: Maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI -Urinary tra...

MASUA: Maambukizi kwenye njia ya mkojo (UTI -Urinary tra... : Maambukizi kwenye njia ya mkojo  (UTI ) ni maradhi  ambayo huathiri mfumo wa mkojo yaani  figo, mirija  ya mkojo pamoja  na kibofu  cha...

MASUA: Ugonjwa wa Ebola :Mambo ya kufahamu

MASUA: Ugonjwa wa Ebola :Mambo ya kufahamu : Ebola ni nini? Ugonjwa wa Ebola pia  hujulikana  kama Ebola  Haemorgic Fever husababishwa  na virusi  vya  Ebola. Ebola  ni jina ...

MASUA: Degedege

MASUA: Degedege : Degedege  ni maradhi yanayoambatana na mwili wa mtu kutikisika kwa haraka  huku mwili ukikosa uwezo wa kudhibiti hali hiyo. Wakati wa deged...

Degedege

WEDNESDAY, JULY 29, 2015 Degedege Degedege  ni maradhi yanayoambatana na mwili wa mtu kutikisika kwa haraka  huku mwili ukikosa uwezo wa kudhibiti hali hiyo. Wakati wa degedege, misuli ya mwili hukakamaa na kulegea mara kwa mara. Katika jamii yetu maradhi haya yamekuwa yakihusishwa na imani za kishirikina na uchawi.  Hata hivyo maradhi haya husababishwa na magonjwa mbalimbali.Mara nyingi degedege hujitokeza katika watu ambao wana familia yenye  historia ya degedege au ugonjwa wa kifafa.  Pia imekuwa ikidhaniwa kuwa watoto ndio huathirika  na maradhi haya. Dhana hii haina ukweli wowote. Watu wa rika zote wanaweza kuathiriwa na degedege. Hata hivyo watoto na vijana ndio huathirika zaidi na degedege.  Degedege inapojirudia huitwa Kifafa.  Imani  hizo zimechangia kuongezeka kwa vifo au mtindio wa ubongo  ambavyo hutokea iwapo  maradhi haya hayakutibiwa kwa haraka na kwa ufasaha.   Dalili za degedege  Wakati mwingine sio rahisi kubaini iwapo mtu amepatwa na degedege. Baadhi ya watu wengi...