Posts

Showing posts from May, 2016

WACHEZAJI BORA UEFA

Ni siku mbili zimepita toka tushuhudia ile fainali ya michuano ya klabu Bingwa Ulaya kwa mwaka 2016, fainali ambayo ilichezwa katika uwanja wa San Siro Milan Italia, hiyo ilikuwa fainali inayozihusisha timu kutoka nchi na jiji moja Hispania Atletico Madrid dhidi ya Real Madrid. Leo May 30 2016 shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya wachezaji 18 kutoka timu mbalimbali barani Ulaya na kuwataja kama ndio wachezaji waliofanikiwa kuunda kikosi bora cha msimu wa 2015/2016 kwa UEFA, list ya wachezaji hao waliotajwa hakuna hata jina la mchezaji yoyote kutoka Ligi Kuu Uingereza. Ni vilabu vitano tu ndio vimefanikiwa wachezaji wake kutajwa katika list ya wachezaji 18 wa UEFA kwa msimu wa 2015/2016, Atletico Madrid na Real Madrid zimetoa wachezaji sita sita, wakati FC Barcelona imetoa wachezaji watatu, FC Bayern Munich imetoa wachezaji wawili na Paris Saint Germain imetoa mchezaji mmoja. ALL GOALS: Fainali ya FA CUP May 25 2016 Yanga vs Az Masshelephoto 0766605392

Mwaka jana ilikua hivi

http://www.pmoralg.go.tz/selection/mgawanyo_kwa_mchepuo.php

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ...

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ... : Ifeoma a 400 level Insurance Law student who is actually on scholarship in the University of Ghana Legon was caught with Mr Kwame of...

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ...

SONTAYO: BUSTED!!! IFEOMA CAUGHT WITH A INSURANCE BUSINESS ... : Ifeoma a 400 level Insurance Law student who is actually on scholarship in the University of Ghana Legon was caught with Mr Kwame of...

Cheki maajabu haya ya darasani

Class wonder: http://youtu.be/yOvAQEqNhRI

Bado,siku chache tu

Image
Kivumbi hichooo america

Picha ya mchezaji wa zamani wa simba

Image
Ni miaka minne tangu atutoke TUTA KUKUMBUKA DAIMA PATRICK MUTESA MAFISANGO

BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU, KUOMBA MIKOPO YA CHUO

Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu    Kupata mikopo na namna yA kuaply   contact phone no +255_22_2772432/3 ,fax+255_22_270086, email ,info@ heslb .go .tz , web http:// www.heslb .go .tz , kupata sanduku lao la barua contact to me on 0746492669

Yanga watinga hatua ya makundi shirikisho CUF

C lub ya yanga imetinga hatua ya makundi shirikisho CUF , baada ya mchezo wake dhidi ya esperanca kumalizika kwa wenyeji kushinda goli moja kwa bila licha ya ushindi huo wamejikuta wa kitupwa nje   kwani mchezo wa kwanza yanga walishinda 2 bila nyumbani , shukrani kwa DEO MUNISH ALIYE PANGUA PENATI DK 87,

SEVILLA MA BINGA EUROPER LIGUE

Clabu ya sevila imetwaa ubingwa wa euro ligue baada ya kuichapa liverpool ma goli matatu kwa moja liverpool ndio walikua wa kwanza kuliona lango la sevilla kipindi cha kwanza kupitia kwa daniel sturdge lakini mambo yalibadilika kipindi cha pili FT SEV 3 LIV 1

Picha ya Mbwana Samatta

Image
Moja ya wachezaji wa tanzania walio pata mafanikio katika soka ni MBWANA ALLY SAMATTA,

Pongezi Yanga na Leicester city

Uongozi wa blog za masshelephoto unapenda kutoa pongwzi kwa wanajangwani baada ya kutwaa ubingwa msimu huu mtawalia pia kwa wa ba w wengine Epl leicester kwakuwa ma bingwa wapya wa kihistoria Acha comentxako hapa

Pongezi Yanga na Leicester city

Uongozi wa blog za masshelephoto unapenda kutoa pongwzi kwa wanajangwani baada ya kutwaa ubingwa msimu huu mtawalia pia kwa wa ba w wengine Epl leicester kwakuwa ma bingwa wapya wa kihistoria Acha comentxako hapa

michezo na burudani

Kupata habari za uhakika na uchambuzi wakina kutoka kwa wachambuzi wenye tahiriba na walio bo ea katika fani hii tembele blog hii kila siku pia tunatoa ofa ya kutangaza tangazo lako buiree oiga simu 0766605392