Yanga watinga hatua ya makundi shirikisho CUF
Club ya yanga imetinga hatua ya makundi shirikisho CUF, baada ya mchezo wake dhidi ya esperanca kumalizika kwa wenyeji kushinda goli moja kwa bila licha ya ushindi huo wamejikuta wa kitupwa nje kwani mchezo wa kwanza yanga walishinda 2 bila nyumbani ,shukrani kwa DEO MUNISH ALIYE PANGUA PENATI DK 87,
Comments
Post a Comment