SEVILLA MA BINGA EUROPER LIGUE
Clabu ya sevila imetwaa ubingwa wa euro ligue baada ya kuichapa liverpool ma goli matatu kwa moja liverpool ndio walikua wa kwanza kuliona lango la sevilla kipindi cha kwanza kupitia kwa daniel sturdge lakini mambo yalibadilika kipindi cha pili FT SEV 3 LIV 1
Comments
Post a Comment