Posts

UNZA SIS Login- UNZA Student Portal zambia

Image
Contents   1 UNZA SIS Login- UNZA Student Portal 1.1 What exactly is a UNZA SIS? 1.2 UNZA Student Portal Login Eligibility 1.3 What Can Be Done With Student Portal? 1.4 How to Log in To University of Zambia student information system (UNZA SIS Login) 1.5 Forgot Your UNZA SIS password ? UNZA SIS Login- UNZA Student Portal UNZA Student Portal is a web-based application designed to help University of Zambia to monitor and manage all of their student information – everything from grades to homework and more. The great thing about having a UNZA SIS is that it can be completely integrated with the school’s existing computer software systems, allowing administrators to get more done in less time. UNZA SIS Login- UNZA Student Portal What exactly is a UNZA SIS? UNZA SIS stands for University of Zambia student information system which is a web-based system used by University of Zambia to collect, store, retrieve, and transmi...

PROF. GURNAH KUWASILI NCHINI APRIL 12 KWAAJILI YA UTOAJI WA TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU 2024

Image
Mshindi wa Tuzo ya Nobel ya mwaka 2021 katika fasihi, Prof. Abdulrazak Gurnah, anataraji kuwasili nchini Tanzania kwa mwaliko wa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda. Prof Gurnah ndiye mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu itayofanyika Aprili 13, 2024 katika ukumbi wa "The Super Dome" Masaki Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) inayoratibu utoaji wa Tuzo hiyo, Dkt. Aneth Komba, amesema kuwa Profesa Gurnah atapokelewa na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere siku ya Ijumaa ya tarehe 12 Aprili 2024 akitokea nchini Uingereza. "Moja ya malengo ya tuzo hii ni kumuenzi baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika kazi kubwa aliyoifanya kwenye eneo la uandishi"amesema Dkt.Komba. Ameongeza kuwa kabla ya hafla ya tuzo hiyo, Prof.Gurnah atapata nafasi ya kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na waandishi bunifu nchini kwa lengo la k...

Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World)

 Biggest economies by GDP ( PPP) in 2024 (World) 1. 🇨🇳China: $32.89 Trillion  2.🇺🇲USA: $26.94T 3. 🇮🇳India: $13.11 T 4.🇯🇵Japan: $6.46T 5.🇩🇪Germany: $5.55T 6.🇷🇺 Russia: $5.05T 7. 🇮🇩Indonesia: $4.3T 8.🇧🇷Brazil: $4.01T 9.🇬🇧UK: $3.87T 10.🇫🇷 France: 3.86T 11.🇹🇷 Turkey: 3.80 T 12.🇲🇽 Mexico: 3.27 T 13.🇮🇹 Italy: 3.19 T 14.🇰🇷 South Korea: 2.92 T 15.🇪🇸 Spain: 2.41 T 16.🇨🇦 Canada: 2.38 trillion 17. 🇸🇦 Saudi Arabia: 2.25 trillion 18.🇪🇬 Egypt: 1.81 trillion 19.🇮🇷 Iran: 1.73 trillion 20.🇦🇺 Australia: 1.72 trillion 21.🇵🇱 Poland: 1.71 trillion 22.🇹🇼 Taiwan: 1.69 trillion 23.🇹🇭 Thailand: 1.58 trillion 24.🇵🇰 Pakistan: 1.57 trillion 25.🇧🇩 Bangladesh: 1.48 trillion 26.🇻🇳 Vietnam: 1.43 trillion 27.🇳🇬 Nigeria: 1.37 trillion 28.🇳🇱 Netherlands: 1.30 trillion 29.🇵🇭 Philippines: 1.28 trillion 30.🇦🇷 Argentina: 1.24 T Source: Data Statistica

Hivi hapa vigezo vya kuchaguliwa Form five 2021

Image
  Vigezo vilivyotumika mwaka Jana. Wangi wamekuwa wakiuliza kuhusu vigezo vya kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2020. Mpaka sasa hakuna habari mpya kuhusu vigezo vitakavyotumika hivyo hapana shaka kuwa vigezo vilivyotumika mwaka jana vitatumika Tena ingawa pia mabadiliko yanaweza kutokea . Vigezo vinavyotumika 1.Mwanafunzi awe amefaulu na kupata DV I-III 2. Awe angalau amesoma kuanzia masomo saba na kuyafanyia mtihani. 3. Katika tahasusi kusiwe na daraja F. yani katika combination kuwa na A-D 4. Jumla ya alama katika tahasusi ilizidi 10. A=1, B=2, C=3, D=4, F=5. hivyo katika combination yako jumla ya alama haitakiwi kuzidi 10  BDD√  DCC √ 5. Mwanafunzi awe amechagua kujiunga na kidato cha tano, ikiwa nipamoja na kuchagua shule, kuchagua tahasusi aliyofaulu. Je kama ulijaza na hauku faulu katika tahasusi hiyo ufanyeje? Jaza selfom upya bofya  HAPA SOMA PIA  HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 

Chimbuko la lugha ya kiswahili

  Chimbuko ni istilahi yenye maana ya kitu fulani kilipoanzia. Ni dhahiri kuwa kuna mijadala ya wataalamu mbalimbali inayozungumzia chimbuko la lugha ya Kiswahili. Baadhi ya wataalamu hao ni pamoja na Chami (1994), Massamba na wenzake ( 1992  mpaka 1996), Freeman Granville (1959) na wengineo. Ifuatayo ni mitazamo yao kukusu chimbuko la lugha ya Kiswahili. Chami (1994), Massamba na wenzake (1992 hadi (1996) wanasema utafiti uliofanywa na wataalamu wanaosema kuwa chimbuko la lugha ya Kiswahili ni Kingozi kizungumzwacho Kenya na Kishomvu kizungumzwacho maeneo ya Bagamoyo na Dar es Salaam hauna mashiko, hivyo basi litakuwa ni jambo la busara kama watafanyia upya utafiti wao. Nae Freeman Granville (1959) Katika kitabu chake alichokiita "The Medieval of Kiswahili Language" anasema Kilwa hata kabla ya karne ya 10 ilikuwa na umuhimu mkubwa kibiashara, hivyo basi kulingana na umuhimu huo wa kibiashara miongoni mwa Wabantu wa Kilwa na wageni (Waarabu) ilipelekea kuibuka kwa lugha m...

Lowassa azikwa Monduli

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024. Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.

Kanitoa bikra yangu na mimba kaniachia!

Image
   Jina langu ni Gresia, mimi ni mama miaka 35 ni mwenyeji wa Moshi nchini Tanzania, katika maisha yangu nimepitia mengi yenye milima na ma bonde ambayo siwezi kamwe kuja kuyasahau.  Nikiwa na umri wa miaka 20, nilianzisha mahusiano na kijana mmoja yeye alikuwa mwenyeji wa Moshi pia ila familia yake ilikuwa inaishi Arusha, kwa ufupi usichana wangu aliufaham yeye. Kiukweli nilimpenda sanaa lakini mwisho wa siku aliniacha katika mazingira ya kutatanisha na nikashangaa mtu karudi Arusja pasipo kuniaga,ningefanya nini? niliumia sana lakini baadaye nikazoea. Kumbe nisijue kama kaniacha na mimba, nikawa naumwa umwa sanaa na nilikuwa na tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara.  Kutokana mama yangu na baba yangu walikuwa wanajiweza, nikapelekwa hospital nzuri kwa vipimo zaidi, japo mama yangu aliwahi nihoji kama nina mimba lakini nikamkatalia kwakuwa nilikuwa napata siku zangu kama kawaida kwahiyo sikuwa na hofu. Ugonjwa wangu ulikuwa unawanyima usingizi wazazi wangu, nilipung...