Vigezo vilivyotumika mwaka Jana.


Wangi wamekuwa wakiuliza kuhusu vigezo vya kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2020. Mpaka sasa hakuna habari mpya kuhusu vigezo vitakavyotumika hivyo hapana shaka kuwa vigezo vilivyotumika mwaka jana vitatumika Tena ingawa pia mabadiliko yanaweza kutokea .

Vigezo vinavyotumika
1.Mwanafunzi awe amefaulu na kupata DV I-III
2. Awe angalau amesoma kuanzia masomo saba na kuyafanyia mtihani.
3. Katika tahasusi kusiwe na daraja F. yani katika combination kuwa na A-D

4. Jumla ya alama katika tahasusi ilizidi 10. A=1, B=2, C=3, D=4, F=5.
hivyo katika combination yako jumla ya alama haitakiwi kuzidi 10  BDD√  DCC √
5. Mwanafunzi awe amechagua kujiunga na kidato cha tano, ikiwa nipamoja na kuchagua shule, kuchagua tahasusi aliyofaulu. Je kama ulijaza na hauku faulu katika tahasusi hiyo ufanyeje? Jaza selfom upya bofya HAPA