Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato Cha tano 2023/2024 | formfive selections 2023/2024 |
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023/2024
Kila mwaka serikali hutoa Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano (formfive posts) ambapo wanafunzi waliofaulu vizuri katika mitihani Yao ya kidato Cha nne huchaguliwa kuendelea na kidato Cha tano au vyuo mbalimbali. Kwa mwaka 2023 hivi punde serikali itatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano na vyuo 2023.
Yaliyomo
✓ JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 NA VYUO
✓ VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023
✓COMBINATION ZA KUSOMA KIDATO CHA TANO 2023
✓ MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 MIKOA YOTE
✓MAJINA YA WASICHANA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO 2023
✓MAJINA YA WAVULANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 SHULE ZOTE TANZANIA
HITIMISHO KUHUSU SELWCTION ZA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023
1. JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 NA VYUO
Kwa kawaida ili kuangalia Kama umechaguliqa kujiunga na kidato Cha tano au vyuo mwaka 2023 utakapsikia selections au post za kidato Cha tano 2023 ( formfive selection 2023) zimetolewa unatakiwa kuingia mtandaoni na kuangalia katika tovuti ya tamisemi au Bofya >HAPA> kuangalia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023 na vyuo pindi wawekapo muda mfupi ujao. Au unaweza kutembelea tovuti hii Mara kwa Mara kusoma majina hayo ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023 au Vyuo ( formfive post and selections 2023)
Ili uweze kuangalia selection au majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano na vyuo 2023/2024 hakikisha yafuatayo
i. Hakikisha una smartphone au kompyuta ya kuangalia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano
ii. Hakikisha una bando kwaajili ya kuangalia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023 (formfive selections 2023)
iii. Ingia katika kivinjari chako na tafuta (Google) majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023 na vyuo
2. VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023
Vipo vigezo mbalimbali ambavyo hutumika katika kuchagua wanafunzi watakao endelea kujiunga na kidato Cha tano 2023/2024 ambavyo vimekuwa vikitumika pia kwa miaka mingine ambavyo ni
a) mwanafunzi awe amefaulu kuanzia daraja la kwanza Hadi la tatu katika mitihani wake wa kidato Cha nne
b) awe na amechagua kuendelea na kidato Cha tano 2023
C) awe na tahasusi au combination iliyo balance kwa alama A Hadi D, isiyozidi Alama 10 , A hupewa Alama 1, B,2, C,3 na D, nne hivyo Kama mwanafunzi amepata History C, Geography C kiswahili C , atakuwa na jumla ya Alama 9 HGK
D, asiwe na zaidi ya miaka 30
Hivyo ndivyo vigezo vya kuchagua wanafunzi watakao endelea na kidato Cha tano 2023 ingawa wakati mwingine kulingana na uchache wa shule baadhi ya wanafunzi wenye sifa huweza kuachwa kwaajili ya second selection au hata kukosa kujiunga na kidato Cha tano. Hata hivyo serikali hufanya kila juhudi kupunguza tatizo hilo kwa kuanzisha shule mpya kila mwaka za kidato Cha tano.
3. COMBINATION ZA KUSOMA KIDATO CHA TANO 2023
Zipo tahahusi mbalimbali ambazo mwanafunzi wakidato Cha tano 2023/2024 anaweza kuzisoma ambazo ni Kama ifuatavyo, CBG, CBM, PCB, CBN, HGK, HKL, KLF, EKA, EGM, HGL, HGE, n.k
4. MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 MIKOA YOTE
Hapa tutakuwekea majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023/2024 na vyuo vya ufundi pindi yatakapokuwa hewano muda mchache ujao
majina yatawekwa kimkoa Kama ifuatavyo
1. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023 mkoa wa Dar es salaam
2. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Pwani
3. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Tanga
4. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Kilimanjaro
5. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Arusha
6. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Manyara
7. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Singida
8. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Tabora
8. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Shinyanga
9. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Simiyu
10. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa SONGWE
11. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa MWANZA
12. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Geita
13. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa KAGERA
14. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Mbeya
15. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa Mbeya
16. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa KATAVI
17. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa LINDI
18. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa MTWARA
19. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa DODOMA
20. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa RUVUMA
21. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa IRINGA
22. Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha tano 2023/2024 mkoa wa MARA
23. Walio chaguliwa kidato Cha tano 2023/204 mkoa wa kigoma
24. Walio chaguliwa kidato Cha tano 2023/204 mkoa wa Rukwa
24. Walio chaguliwa kidato Cha tano 2023/204 mkoa wa MOROGORO
25. Walio chaguliwa kidato Cha tano 2023/204 mkoa wa Mpanda
26. Waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023/2024 NJOMBE
5. MAJINA YA WASICHANA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO 2023
majina yote ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023 na vyuo yatakuwa hapa ya shule zote jina la mwanafunzi, shule atokayo na shule aendayo ya kidato Cha tano 2023. Kiaflabeti A to Z
6. MAJINA YA WAVULANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023
vilevile majina ya wavulana waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano kwa mwaka 2023/2024 yatakuwa hapa PDF ambapo utaweza kusoma majina yote.
Hitimisho
Pindi uonapo kuwa umechaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023/2024 unaweza kupata joing instructions kutoka katika tovuti ya manispaa au WILAYA husika unayoenda kujiunga na kidato Cha tano 2023 au katika tovuti ya shule husika kwa wale waliochaguliwa kwenye vyuo 2023/2024 ni hivyo hivyo. Maandalizi mema ya kujiunga na kidato Cha tano 2023/2024
0 Comments