Posts

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 MLAMBAI SECONDARY

  Haya hapa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano na vyuo kutoka shule ya SECONDARY Mlambai 2023. Kuona majina Bofya >>HAPA>>

SELECTION ZA KIDATO CHA TANO 2023/2024 MIKOA YOTE

Image
  OFISI YA RAIS - TAMISEMI UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2023 BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano 2023 yametolewa rasmi leo ambapo Orodha hiyo imejumuisha wanafunzi wote waliochaguliwa kidato cha tano na vyuo vya ufundi CHAGUA MKOA ULIKOSOMA ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA GEITA IRINGA KAGERA KATAVI KIGOMA KILIMANJARO LINDI MANYARA MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA NJOMBE PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SIMIYU SINGIDA SONGWE TABORA TANGA

Form five selection from Narumu Secondary school 2023/2024

Majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kutoka Narumu Secondary Bofya HAPA kuona majina yote SOMA PIA  HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 

HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023/2024 form five selection

Image
  Majina ya wanafunzi waliochaguliwa kidato Cha tano 2023/2024 | formfive selections 2023/2024 MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023/2024 Kila mwaka serikali hutoa Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano (formfive posts) ambapo wanafunzi  waliofaulu vizuri katika mitihani Yao ya kidato Cha nne huchaguliwa kuendelea na kidato Cha tano au vyuo mbalimbali. Kwa mwaka 2023 hivi punde serikali itatangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha tano na vyuo 2023. Yaliyomo ✓ JINSI YA KUANGALIA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 NA VYUO ✓ VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO  2023 ✓COMBINATION ZA KUSOMA KIDATO CHA TANO 2023 ✓ MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2023 MIKOA YOTE ✓MAJINA YA WASICHANA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO 2023 ✓MAJINA YA WAVULANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2023 SHULE ZOTE TANZANIA HITIMISHO KUHUSU SELWCTIO...

The 15 Best Places to Visit in Africa in 2023/2024

  1. Zanzibar, Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ  2. Cape Town, South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ 3. Cairo, Egypt πŸ‡ͺπŸ‡¬  4. Marrakesh, Morocco πŸ‡²πŸ‡¦  5. Mombasa, Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ  6. Namibia πŸ‡³πŸ‡¦  7. Lagos, Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬  8. Lake Victoria πŸ‡ΉπŸ‡Ώ × πŸ‡ΊπŸ‡¬  9. Seychelles πŸ‡ΈπŸ‡¨  10. Cape Verde  πŸ‡¨πŸ‡»  11. Tunisia πŸ‡ΉπŸ‡³  12. Kigali, Rwanda πŸ‡·πŸ‡Ό  13. Ethiopia πŸ‡ͺπŸ‡Ή  14. Mt. Kilimanjaro  πŸ‡ΉπŸ‡Ώ  15. Safari Parks such as  Masai Mara National Reserve in Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ, Kruger National Park in South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦, and Serengeti National Park in  Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Contact, nihaomedia7@gmail.com

USAJILI AZAM: FEISAL ASAINI AZAM

Image
Baada ya klabu ya Azam kumsajili kiungo Feisal Salum kutoka Young Africans SC kwa mkataba wa miaka mitatu, atavaa jezi namna 6 ndani ya klabu yake hiyo mpya. Baada ya kumalizika kwa sakata lake la mgogoro wa muda mrefu wa kimkataba na klabu ya Yanga, Feitoto amesema ana furaha kubwa sakata hilo kumalizwa na amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia kumaliza mgogoro huo “Namshukuru Rais kwa kulimaliza hili jambo, nitazidi kumuombea katika majukumu yake. “Nawashukuru pia mashabiki wa Yanga na Viongozi kwa upendo walionionesha,” amesema Feitoto muda mfupi baada ya kusaini mkataba wa kuitumikia Azam hadi 2026.  

Benzema atua Al-Ittihad

Image
  Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or, Karim Benzema amekubali mkataba wa miaka mitatu na mabingwa wa Saudi Arabia Al-Ittihad baada ya kuondoka Real Madrid. Mshambulizi wa Ufaransa Benzema(35), alishinda mataji 25 - ikiwa ni pamoja na Ligi ya Mabingwa 5 na La Liga 4 - katika miaka 14 akiwa na Madrid lakini walikubali kumwachia aondoke ukiwa umesalia mwaka mmoja kumaliza mkataba wake. Alifunga mabao 354 akiwa na Real, wa pili baada ya Cristiano Ronaldo. Ronaldo, ambaye alifunga mabao 450 ya Real, anachezea klabu nyingine ya Saudi, Al-Nassr. "Ni ligi nzuri na kuna wachezaji wengi wazuri," alisema Benzema. "Cristiano Ronaldo yuko tayari, rafiki ambayo inaonyesha kwamba Saudi Arabia imeanza kuendeleza zaidi kiwango chake. Niko hapa kushinda, kama nilivyofanya Ulaya. "Nimekuwa na bahati ya kufikia mambo ya ajabu katika kazi yangu na kufikia kila kitu ninachoweza nchini Hispania na Ulaya. Sasa ninahisi wakati ni sahihi kwa changamoto na mradi mpya." Al-Ittihad inasima...