Mume wangu akienda nje kazi haiwezi, ila kwangu mambo ni moto!

Naitwa Mama Sofia, nimeolewa ni na watoto wanne na mume wangu wa ndoa, Jamal, tulifunga ndoa miaka miwili iliyopita, tuliishi kwa upendo na amani ndani ya nyumba bila kadhia yoyote ndani ya nyumba yetu hadi pale tulipojaliwa kupata mtoto mmoja. Ukweli majirani walivutiwa sana na jinsi ambavyo tulikuwa tukiishi pamoja, nguzo pekee iliyotuongoza maisha ni uaminifu ndani ya ndoa, hakuna ubishi kwamba uaminifu ukikosekana kati ya wawili basi mambo huanza kuharibika. Licha ya mapenzi moto moto niliyokuwa nampa mume wangu na ambayo yeye alikuwa akinionyesha, bado ndoa yetu kuna kipindi ilipitia kipindi kigumu hadi nikafikiria siku moja niondoke nirudi kwa wazazi wangu. Hiyo ilikuwa ni baada ya mimi kujifungua, mume wangu ghafla alibadilika na akaanza kurejea nyumbani akiwa amechelewa sana tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo alikuwa anakuja nyumbani mapema. Nakumbuka kila nilipojaribu kumuuliza alipokuwa hakuwa na majibu yenye kueleweka zaidi ya kusema yeye n...