Ni miaka nyingi niking’ang’ana na mwanagu Hospitalini hadi nilipoenda kumuona huyu Daktari

Ukweli ni kwamba nimehangaika kwa miaka mingi na mwamngu aliyeanza kuunguwa ugonjwa wa kifafa. Naitwa mama Hildah kutoka Iringa Mimi na bwanangu Issa tulifanikiwa kumpata mtoto wa kiume na alipofikisha miaka mitatu alianza kusumbuliwa na ugonjwa wa kuanguka na kuzirai kila mara jambo ambalo lilitusumbua na kutuweka kwenye njia panda. Tulitumia kiasi kikubwa cha hela kutafuta matibabu ya mtoto huyo lakini hatukufua dafu. Bwanangu hatimaye alilazimika kuuza gari lake la biashara ili kuokoa maisha ya kijana wake lakini hilo halikufaulu bado. Tuliteseka kwa muda wa miaka mingi mno tukizuru mahospitali mbalimabli ili kumuokoa mwanatu lakini yote ilikuwa ni kazi bure. Mwezi uliopita tukiwa hospitalini karibu na nyumbani kwetu, mzee mmoja alikuja kutuliwaza na alipoangalia hali ya mtoto huyo alisononeka na kutusihi tutumie matibabu ya kienyeji yaani miti shamba. Alituambia kuna daktari mmoja shupavu mno ambaye aliponyesha mtoto...