Posts

Ni miaka nyingi niking’ang’ana na mwanagu Hospitalini hadi nilipoenda kumuona huyu Daktari

Image
  Ukweli ni kwamba nimehangaika kwa miaka mingi na mwamngu aliyeanza kuunguwa ugonjwa  wa kifafa. Naitwa mama Hildah kutoka Iringa Mimi na bwanangu Issa tulifanikiwa kumpata mtoto wa kiume na alipofikisha miaka mitatu  alianza kusumbuliwa na ugonjwa wa kuanguka na kuzirai kila mara jambo ambalo lilitusumbua  na kutuweka kwenye njia panda. Tulitumia kiasi kikubwa cha hela kutafuta matibabu ya mtoto huyo lakini hatukufua dafu.  Bwanangu hatimaye alilazimika kuuza gari lake la biashara ili kuokoa maisha ya kijana wake  lakini hilo halikufaulu bado.  Tuliteseka kwa muda wa miaka mingi mno tukizuru mahospitali mbalimabli ili kumuokoa  mwanatu lakini yote ilikuwa ni kazi bure.  Mwezi uliopita tukiwa hospitalini karibu na nyumbani kwetu, mzee mmoja alikuja kutuliwaza na  alipoangalia hali ya mtoto huyo alisononeka na kutusihi tutumie matibabu ya kienyeji yaani miti  shamba. Alituambia kuna daktari mmoja shupavu mno ambaye aliponyesha mtoto...

MAKAMISHINA WANNE WA IEBC WALIKUWA WAKIWASILIANA NA MAOFISA KUTOKA MUUNGANO WA RAILA

Image
  Makamishna 4 wa IEBC waliokataa kuidhinisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa Agosti nchini Kenya, wakiongozwa na makam mwenyekiti wa tume hiyo Juliana Cherera Aug 15,2022 Tume maalum iliyoundwa kuchunguza makamishna 4 wa tume huru ya uchaguzi nchini Kenya IEBC, imeambiwa kwamba makamishna hao walikuwa wanashirikiana na maafisa wa ngazi ya juu serikalini, na mkurugenzi mkuu wa muungano wa Azimio wa Raila Odinga, Raphael Tuju kulazimisha duru ya pili ya uchaguzi mkuu. Makamishna hao wanachunguzwa kutokana na mwenendo wao baada ya kukataa matokeo ya uchaguzi wa urais yaliyompa ushindi William Ruto, namna yalivyotangazwa na mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati. Tume hiyo imeambiwa kwamba kikao cha makamishna wanne wa IEBC kukataa matokeo ya uchaguzi wa urais wa mwezi Agosti, waliochoandaa katika hoteli ya Serena jijini Nairobi, kililipiwa na watu waliokuwa na ushawishi mkubwa serikalini na katika muungano wa aliyekuwa mgombea urais Raila Odinga. Vigogo katika muungano wa Raila Odinga walik...

Simba Quens Yanga princes 1-1

Image
  PAMBANO la watani wa jadi kati ya Simba Queens dhidi ha Yanga Princess limekosa mbabe baada ya timu hizo kuvimbiana ndani ya dakika 90 zikitoka sare ya bao 1-1, mchezo huo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mabadiliko yaliyofanywa na kocha wa Simba Queens, Charles Lukula kipindi cha pili ya kuwatoa Pambani Kuzoya na Koku Ally na kuwaingiza Vivian Corazone na Asha Jafari yaliisaidia timu hiyo kuepuka kipigo kutoka kwa watani zao wa jadi, Yanga Princess. Dakika chache tu baada ya kuingia, Corazone aliipatia Simba Queens bao na kuufanya mchezo huo kumalizika kwa sare bao 1-1. Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 45 kupitia kwa Wogu Chioma aliyefunga bao kwa kichwa akimalizia kona ya Wincate Kaali na baadae Simba kusawazisha dakika ya 59 kupitia kwa Vivian aliyepiga shuti nje kidogo ya 18 na kujaa wavuni. Hiyo ni mechi ya tisa timu hizo zimekutana huku Simba ikishinda mara sita, sare mbili na Yanga ikishinda mara moja tu. Yanga iliifunga Si...

List of Top 12 paid internships (Eskom makes the list) to kickstart your career in 2023

Image
Here is the list of top 12 paid internship for fresh graduate in South Africa, you can find your dream job through this list of paid internships 1. Google: SEO intern (Midrand) Job description: Understanding industry programs such as Google Analytics, keyword research, data mining tools, and analyzing high volumes of data daily. Intern period: 6 months Requirements: Must have SEO experience Remuneration: R 5000 - R 6000 pm Closing date: Not specified Apply here . We've found some tips about the company and how they hire... It’s also reported that Google employees rated their work environment 4.5 out of 5. 2. Ferrero: HR/PR & Production Planner interns (Walkerville, Jhb) Job description: HR/PR and production planning internship programs for 2023. Intern period: Not specified Requirements: HR/PR applicants: Bachelor's degree in supply chain or business management or a related field. Production planning applicants: Bachelor's degree in human resources managem...

Watu wanasema bibi yangu amepachikwa mimba na rafiki yangu

Image
  Naomba tafadhali msinicheke!! Sio kupenda kwangu. Naitwa Abdul Kassim mzaliwa wa  Morogoro Tanzania ambako familia yangu pia imekita mizizi. Nilimpata mrenbo fulani ambaye tulianza maisha naye lakini kuna jambo moja lililotusumbua  kwa muda mrefu. Tatizo hilo ni la kupata watoto. Tumetafuta mtoto tangu mwaka jana lakini hatujafanikiwa. Mimba ya kwanza ilitoka kisha ya  pili pia ikatoka tukabaki kwa masononeko. Sijajuwa ni nini hasa mbaya lakini nilimpeleka bibi hospitalini ili afanyiwe uchunguzi lakini  suluhu haikupatika na ikafika wakati wa kuanza kulaumiana naye. Nilimuambia kila mara  simtaki sababu hawezi nizalia watoto hata nikamfukuza na akaenda kwao. Bila kuficha, amekuwa kwao kwa muda wa miezi nane nilipoambiwa anaudhuria matibabu ya  kienyeji kwa Daktri Ngoso. Hata nilipoambiwa hilo nilipuuzilia mbali lakini dadangu  akaniambia nitafute huyo bibi haraka huenda akafanikiwa kupata mtoto baada ya kupata  matibabu kwa Ngoso. Kwa sabab...

USAJILI MPYA SIMBA BALAA

Image
  SIMBA SC inatakiwa kutoa dola 100,000 (sawa na Sh 232,385,000 za Kitanzania) ili kufanikisha usajili wa winga wa zamani wa TP Mazembe, Isaac Tshibangu ambaye kwa sasa anakipiga Bandırmaspor ya Uturuki. Winga huyo ni kati ya wachezaji waliokuwepo katika mipango ya kusajiliwa na Simba katika usajili huu wa dirisha dogo uliofunguliwa Desemba 16, 2022. Simba imepanga kukifanyia maboresho kikosi chao katika baadhi ya maeneo ikiwemo winga baada ya kumkosa mchezaji mzuri wa kufunga na kutengeneza nafasi za kufunga. Mmoja wa mabosi wa Simba, ameliambia Spoti Xtra kuwa, winga huyo anasajiliwa kuja kuchukua nafasi ya Mnigeria, Nelson Okwa. Bosi huyo alisema kuwa, winga huyo Mkongomani yupo katika mazungumzo ya mwisho kwa ajili ya kukamilisha dili lake la kutua Simba baada ya kuona ugumu wa kumrudisha Luis Miqquisone raia wa Msumbuji. Aliongeza kuwa, winga huyo kwa sasa sokoni thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 200, hivyo Simba itatakiwa itoe kitita hicho kufanikisha usajili wake. “W...

KCPE AND KPSEA EXAMINATION RESULTS 2022/2023 https://www.knec-portal.ac.ke

Image
  KCPE RESULTS 2022/2023 Otieno Lewis Omondi from St Peter's Mumias Boys Primary school emerges the top candidate in the KCPE 2022 examinations by scoring 431 marks. KCPE  EXAMINATION RESULTS VIEW ALL RESULTS CLICK >>HERE>> KCPE & KPSEA results to be released; CS Ezekiel Machogu According to Education CS Ezekiel Machogu, the results of the 2022 Kenya Certificate of Primary Education (KCPE) exams will be released to the public next week. According to Mr. Machogu, the Education Ministry has put in place strict safeguards to prevent any instances of exam-related cheating. “Next week we are announcing KCPE examination results and you will not hear any cases of cheating under the leadership of Machogu. The grading of Kenya Certificate of Secondary Education (KCSE) is progressing well and I can assure you, the results will not be riddled with any irregularities,” said Mr Machogu. Speaking at the burial ceremony of Mama Yunuke Kebira, mother of his ...