Posts

BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI, TAMAA YA MALI YATAJWA

Image
  ZIKIWA zimepita siku kadhaa toka litokee tukio la kijana mmoja jijini Arusha kumuua mama yake mzazi Kwa tamaa ya Mali, Limegundulika tukio lingine la kinyama mkoani Kilimanjaro katika Manispaa ya Moshi ambapo binti mmoja aliejulikana Kwa jina Moja la Wendy amemuua Mama yake mzazi (Mama Ipepu) ambae ni Nesi mstaafu wa Hospital ya KCMC.   Jeshi la Polisi limeufukua Mwili huo jana tarehe 09-01-2022 katika kata ya Rau baada ya kumhoji binti huyo Kwa zaidi ya wiki mbili sasa Kisha kukiri kumchinja mama yake Kwa panga na kumfukia nyumbani hapo.   Ni takribani Mwaka sasa ndugu na majirani walipokuwa wamuulizia mama huyo walipatiwa majibu na binti huyo kuwa amesafiri Kwa matibabu nje ya nchi.   Akizingumza kwa uchungu huku akilengwalengwa na machozi Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Ndg Juma Raibu ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho na amelaani vikali tabia ya vijana kuendekeza tamaa na kukosa uvumilivu wa utafutaji Mali Kisha wanaishia kufanya matendo ya kinyama. Namnuku...

Afariki kwa Kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Image
Mkazi wa Kijiji cha Gumba, Kata ya Gwata wilayani Kibaha mkoani Pwani, Bakari Mbagara (63) amefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kuwa alipigwa na waya wa umeme na kulazimishwa kula saruji na Askari wa JWTZ, Koplo Cibumba Lugola wa Kikosi cha 21 FIR Ngerengere.   Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema wanaendelea kumshikilia mtuhumiwa wa mauaji hayo.   Uchunguzi wa polisi umeonesha kwamba Mbagara ambaye alifariki dunia Januari 2 na kuzikwa Januari 3 alifuatwa kwenye kilabu cha pombe na askari huyo akamchukua kwenda nae eneo analofanyia biashara, akimtuhumu kumuibia kuku wake.   Sahau Bakari ambaye ni mtoto wa marehemu amesema mtuhumiwa baada ya kumpiga baba yake, alimwachia na kumwamuru aondoke, na wakati akirudi nyumbani alianguka njiani.

Baba amuua binti yake baada ya kumkuta akifanya mapenzi na mwanaume kwenye nyumba yake

Image
  Polisi wa Kaunti ya Murang’a nchini Kenya wanamshikilia mwanaume mwenye umri wa miaka 41 kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kike (16) anayesoma form one baada ya kurudi nyumbani kwake na kumkuta mtoto wake huyo akiwa na mpenzi wake kitandani wakifanya mapenzi ndani ya nyumba ya baba yake. Polisi wamesema Baba huyo alimpiga mtoto wake huyo aliyekuwa akisoma katika Shule ya Sekondari Sabasaba hadi akafariki na kutokana na hofu ya kukamatwa aliamua kuutupa mwili wa mtoto wake ndani ya karavati (Culvert) lililopo Barabara ya Kenol – Sabasaba umbali wa mita chache kutoka nyumbani kwake ambapo mwili huo ulionekana na Wapita njia. Polisi wanasema walikuta damu kwenye suruali ya mwanaume huyo wakati wa upekuzi na walipombana akakiri kumuu mwanae huku akisema mpenzi wa mtoto wake waliyekuwa kitandani na mtoto wake alifanikiwa kukimbia.

NAFASI ZA KAZI GEITA

Image
  New Government Job Vacancies at Nyang'hwale District Council 2022 Nyang'hwale District is one of the five districts of Geita Region of Tanzania. Its administrative centre is the village Kharumwa. It is bordered to the north by Sengerema District, to the east by Misungwi District and Shinyanga Rural District, to the south by Kahama Rural District, and to the west by Geita District. As of 2012, the population of Nyang'hwale was 148,320. Nyang'hwale was established in 2012, when it was split off from Geita District and became part of the newly established Geita Region.  Today we announce jobs at Nyang'hwale District Council. Read carefully all currently available jobs descriptions by downloading PDF File attached. Please download PDF file attached below: Position: Various Posts (11 Vacancies) Deadline: 12th January, 2022 DOWNLOAD PDF FILE HERE

Mambo ya takayokuepusha kupata matatizo ya Tezi dume

Image
  Matatizo ya Tezi dume hujumuisha, saratani ya tezi dume, kukua/kuvimba kwa tezi dume pamoja Na maambukizi katika tezi hii muhimu kwa wanaume.  Aidha, matatizo ya Tezi dume yamekuwa yakionekana kwa wingi kwa wanaume wanaoanzia umri wa miaka 40+ hivyo umri Na historian vikitajwa pakubwa kuchangiza ugonjwa Huu. Haya hapa mambo ambayo yatakuepusha au kupunguza hatari ya wewe kupata magonjwa ya Tezi dume (mambo Haya ni kwa mujibu wa mayor clinic 1. Epuka kunywa vimiminika wakati wa kwenda kulala. 2. Punguza vinhwaji vyenye au vyenye viambata vya caffeine pamoja Na kuepuka vinywaji vyenye alcohol Mara kwa Mara. 3. Epuka Vyakula vyenye viwango vikubwa vya mafuta. 4. Fanya mazoezi kila Mara. 3. Dhibiti uzito wako. 5.kula matunda hasa Yale yenyewe utajiri wa vitamin c Bila kusahau mboga mboga. 6. Jitahidi kuepuka kula nyama nyekundu.

NAFASI ZA KAZI UDOM

Image
  Overview: The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1) On behalf of University of Dodoma (UDOM), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanian's to fill (3) vacant post as mentioned in the PDF file attached; Click link below to download the file: Position: Various Posts (3 Vacancies) Deadline for application is 20th January, 2022. DOWNLOAD PDF FILE HERE!

NAFASI MPYA ZA KAZI WILAYA YA UVINZA

Image
  Overview Uvinza, known as Neu Gottorp during the German colonial rule, is a town in western Tanzania in the highlands. Elevation 996m. Geography and Climate Uvinza is situated between where the Ruchugi River and Malagarasi Rivers merge. The climate is tropical savanna climate (Köppen climate classification Aw) History Uvinza is an ancient town known for its salt production. During the German colonial period the town was named Neu Gottorp and a railway line was built in the 1900s linking it to Dar es Salaam. Transport Uvinza has a station on the Tanzanian Railways. In October 2007, it was proposed to build a branch railway to Bujumbura in Burundi junctioning off from there. It is also served by Uvinza Airport, which is located around 2 mi (3.2km) northeast of the town center. The airport consists of a single, non-paved airstrip which is approximately 3,000 ft (914.4 m) long. Today we announce jobs at UVINZA District Council. Read carefully all currently available jobs...