Posts

Mo Scholars Programme For Undergraduate Degree Students 2021/22

Image
Job Overview The idea for the Mo Dewji Foundation was conceived in 2000, when the CEO of MeTL Group, Mohammed Dewji, driven by passion and ambitions for the society, made great efforts to develop and expand the company’s Corporate Social Responsibility and its role in creating positive change. The Mo Dewji Foundation now conducts all CSR operations of MeTL Group. The Mo Dewji Foundation focuses on improving life conditions in Tanzania in several areas: Promoting education in order to create a pathway for the population, especially the disadvantaged and vulnerable groups, to lead to a more productive, equitable and just society. Strengthening healthcare systems and creating purified drinking water to assist in disease prevention. Supporting community development efforts in order to help build self-sustaining and successful communities throughout Tanzania. We invite first year students to apply to our Mo Scholars Program, which covers tuition fees, direct university costs, housing and me...

Madhara ya Kufanya Tendo la Ndoa Kupita Kiasi

Image
WATAFITI wa masuala ya afya na saikolojia wanasema tendo la ndoa ndicho tendo ambalo humpa furaha kubwa zaidi binadamu na endapo atafanya tendo hilo kwa amani, utulivu na furaha huku wakieleza kuwa kufanya mapenzi kuna faida nyingi.   Lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi unapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara tena kwa watu wanaoendekeza sana ngono katika maisha yao ya kila siku.   Kuna mtu hawezi kabisa kulala bila kufanya mapenzi, hawezi kupitisha siku bila kufanya ngono, wengine wanashindwa kuvumilia angalau siku mbili au tatu. Mtu ana mke, anataka kila siku afanye naye tendo la ndoa eti kwa sababu tu ni haki yake na hakuna wa kumzuia kufanya hivyo, sababu ametoa mahari.   Jambo hili linaweza kuwa jema kwa upande mmoja, lakini tafiti zinaonyesha kwamba miongoni mwa kesi za watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka, wengi wao wapo katika kundi la watu wapenda ngono kupita kiasi (wanaume na wanawake).   Wanawatolea mfano makahaba ambao w...

Tambua sababu za Watoto wachanga kulia mara kwa mara na namna ya kuwabembeleza

Image
    Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani wa kati ya saa moja mpaka matatu kwa siku. Kwa vile watoto hawawezi kujifanyia chochote wao wenyewe zaidi ya kutegemea wazazi, walezi ama watu wengine wanaowazunguka katika kuwapatia chakula, joto, na faraja, kilio ni njia ya mtoto ya kuwasilisha moja ya mahitaji hayo.  Kama mzazi mpya, wakati mwingine inakuwa vigumu kutambua mtoto wako anahitaji nini anapolia. Mzazi anaweza kuwa na maswali kadhaa kichwani mwake, je, mtoto ana njaa, anasikia baridi, ana kiu, anaumwa ama amechoka? Katika siku za mwanzo, hali ya namna hii inawawia vigumu wazazi wengi, wasijue nini la kufanya. Hata hivyo, kwa kadiri siku zinavyopita mzazi mpya ataweza kutambua kuwa kilio cha mtoto wake kinamaanisha anahitaji nini kutokana na mfumo wake wa kulia.  Kadiri watoto wanavyokua npyo ambavyo hujifunza hatua mbalimbali za kuwasiliana na wazazi ama walezi wao. Wanakuwa na namna nzuri ...

Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti

Image
Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani ya matiti. Kulingana na shirika la habari la BBC,wataalamu wa chuo kikuu cha Bristol nchini Uingereza wamewafanyia tathmini wanawake 400,000 na kutambua kuwa sio rahisi kwa mwanamke anaeamka asubuhi na mapema kupata saratani ya matiti. Utafiti huo umeoneysha kuwa wanawake wanaoamka wamechelewa wana hatari kubwa ya kupata ugonjwa huo ukilinganisha na wale wanaoamka mapema Utafiti wa hapo awali ulionyesha kuwa kufanya kazi mpaka usiku wa manane kunaongeza hatari ya kupata  saratani. Matokeo ya utafiti huo yatawasilishwa kwenye Mkutano wa Taifa wa Taasisi ya Utafiti wa Saratani huko Glasgow.

PROFIT MARATHON PROMO FOR ADVERTISERS

  are you an advertiser? now is your chance to get a marathon bonus code! the more you spending in any ads format within the time of 20 th of october to 30 th of november you will get a huge bonus as follow ADVERTISER LEVELS Green 300$+ you will get $80 as bonus Silver 1200+ you will get bonus of 150$ Gold 3500$+ = 700$ etc Nb, you must increase ads spending within the promo period in order to get extra bonus for the next deposits read more here ➡️ https://propellerads.com/blog/adv-profit-marathon-promo-increase-your-spend-and-get-a-bonus/ #propellerAds #profitmarathon

Udsm Kusomesha Wanafunzi 50 Waliofaulu Vizuri Sayansi

Image
  CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinaunga mkono jitihada za serikali katika sayansi kwa kutoa ufadhili kwa wanafunzi 50 wenye ufaulu mzuri katika masomo ya sayansi ambao wamemaliza kidato cha sita. Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa William Anangisye alisema hayo alipokuwa akizungumza na HabariLeo kuhusu mchango wa chuo hicho kwa taifa. Alisema ufadhili huo utakuwa sawa kwa sawa kwa jinsia zote na haujawahi kuwepo. “Tumetoa ufadhili huo kwa kuwa tunawatia moyo wanafunzi wawekeze kwenye sayansi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya wanafunzi katika masomo hayo,” alisema. Alisema ufadhili mwingine wanatoa kwa wanafunzi 10 wenye ufaulu wa juu katika shahada za awali ambao nao ni mchango wa chuo hicho katika kusaidia Watanzania. “Pia tunatoa ufadhili kwa wanafunzi wa kigeni katika shahada za umahiri katika Kiswahili, mpaka sasa walionufaika ni kutoka nchi za Ghana, Rwanda na Uganda,” alisema. Alisema lengo ni kuunga mkono juhudi za serikali kwa kueneza lugha hiyo nchi za Afrika na dunia...

Fahamu namna ya kuishi na mpenzi anayependa fedha

Image
HAPA  tunazungumza kuhusu mapenzi kama kawaida yetu. Leo nimekuja na mada ambayo naamini itawagusa wengi. Marafiki zangu, kusaidia katika mapenzi ni jambo zuri tena lenye mantiki sana. Suala la kusaidiana si la upande mmoja. Linaweza kuwa kwa wote, kwa mwanaume au mwanamke. Ni kati ya nguzo muhimu katika mapenzi, lakini kwa bahati mbaya kuna wale ambao  wamekuwa na tabia ya kupenda sana fedha! Unajua wenzi wanajuana kulingana na wanavyoishi, hivyo ni rahisi sana kumgundua mwenzako kama anapenda sana fedha au ni kweli ana tatizo linalohitaji msaada wako. Hii ni kasoro, lakini haimaanishi kwamba ndiyo sababu ya kuachana. Katika mada hii ipo dawa ya namna ya kudumu katika mapenzi motomoto na mwenzi wa aina hii. Imekuwa ni kawaida kumsikia msichana akitamba mbele ya wasichana wenzake kwa kusema: “Mimi nina kibuzi changu bwana kila ninachotaka kinanipa, kinajua kisiponipa nakitosa tu, yaani nakichuna kama sina akili nzuri.” Umewahi kukutana na man...