Posts

Tahadhari: Kimbunga Jobo Kupiga Tanzania

Image
  KIMBUNGA hafifu kimeyapiga maeneo ya mwambao wa bahari ya Hindi nchini Tanzania jana kufuatia kujitokeza kwa mgandamizo wa hewa katika maeneo hayo.       Kulingana na mamlaka ya hali ya hewa nchini Tanzania Kimbunga hicho kinatarajiwa kusababisha ongezeko la upepo hususan katika maeneo ya mwambao wa pwani ya kusini, maeneo ya Lindi na Mtwara.       Samwel Mbuya Meneja wa Kituo kikuu cha utabiri Mamlaka kuu ya hali ya hewa Tanzania amesema kimbunga hicho kipo umbali wa takriban kilomita 930 kutoka pwani ya Lindi na takriban kilomita 1030 pwani ya Mtwara.       Mamlaka ya hali ya hewa nchini imewataka wananchi kuchukua tahadhari kwa kuzingatia mwelekeo wa upepo na mawimbi ya bahari katika maeneo husika.       Kimbunga hicho pia kilisafiri kwa kasi ya mwendo wa Kilomita 1,022 kaskazini mwa mji mkuu wa Madagascar Antananarivo.

RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA VIONGOZI USIKU HUU...TAZAMA MAJINA HAPA

Image
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan 

RAIS SAMIA KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA

Image
  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 22,2021 amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu kufuatia kifo cha aliyekua Rais Dk John Magufuli ambapo ameahidi kulinda Demokrasia na Uhuru wa Vyombo vya Habari. Rais Samia amesema katika kulinda huko Demokrasia amepanga kukutana na viongozi wa vyama vya siasa ili kuona namna iliyo bora ya kufanya shughuli zao za kisiasa huku pia akiwataka watanzania kufanya shughuli zao kwa kuzingatia sheria za nchi. "Ili kulinda uhuru wa demokrasia nakusudia kukutana na viongozi wa vyama vya siasa Tanzania ili kwa pamoja tuweke mwelekeo wa kuendesha shughuli za siasa zenye tija na maslahi ya nchi yetu,"  amesema. Amesema katika hilo pia ameiomba Mahakama kupitia Jaji Mkuu kuhukumu yaliyo ya haki kwa wananchi na siyo kutoa hukumu zisizo kuwa na haki na zenye kuwaumiza Wananchi

Serikali Kuajiri Watumishi Wapya 44,096

Image
  Wizara ya Nchi Ofisi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imesema kuwa katika mwaka wa fedha wa 2021/22 inatarajia kuajiri watumishi wa umma wapya 44, 096.     Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 22, 2021 Waziri wa wa wizara hiyo, Mohamed Mchengerwa, wakati akiwasilishwa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/22.     Mchengerwa amesema kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240.     Ameongeza kuwa serikali itaajiri watumishi 14,841 wa kada mbalimbali ikiwemo wahadhiri wa vyuo vikuu vyote vya umma nchini pamoja na kada nyingine ambazo haziko kwenye sekta zilizoainishwa awali.     Hata hivyo, amesema watumishi 92,619 wa kada mbalimbali watapandishwa vyeo na watumishi 2,360 watabadilishwa kada katika utumishi.   ...

RAIS SAMIA ATEUA VIONGOZI MBALIMBALI

Image
 

Propeller announce publisher priority program

To see your level go and log in to your account and click the your color button to the top right side of your account The different levels are: Green  – total paid per 14 days from $0 to $350 Silver  – total paid per 14 days from $350 to $1400 Gold  –  total paid per 14 days from $1400 to $7000 Platinum  – total paid per 14 days from $7000+ Each level propeller publisher can enjoy differences service according to its level. I think this is good thing since every publisher may wish to get platinum level so to get the services there do to that this system may encouraged the publisher to seek high earning. See more here  https://propellerads.com/blog/pub-announcing-propeller-pub-priority-our-publisher-benefit-program/ #PropellerAds, #Propeller_Priority #Webmonetization

PROPELLER IS THE BEST CPM ADS IN 21 C.

  Propeller is the bigg advertising network for both publisher and a advertiser s. I consider  Propeller ads  as good alternative   of google adsense. Propeller offer different ads format like push notification ads, interistial, in page banner (if your site is under 500000  world blog alexa rank ) direct link  and multitag which contain all types of ads. Why you must use propeller ads to monetize your site Is best Cpm ads, propeller  they offer best Cmp than other ads so you can make a lot of money by using this network Low minimum payment  propeller set only 5$ as low minimum payout  so this network is good for small  publishers. You can withdraw you money ones you reach only five USD,  Timely payment with many payment methods which include, webmoney, wire, paypal etc Direct link . did you know that you can make a lot of money even you don’t have a website? Yes  in propeller its possible register and create direct link a...