Posts

VIDEO | Meja Kunta – Chura Superstar

Image
 

AUDIO | Diamond Platnumz Ft. Koffi Olomide – Waah! | Download

Image
  Download  | Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide – Waah! [ Mp3 audio ]

VIDEO | Rayvanny Ft. Zuchu – Number One

Image
 

Polisi wa Uganda waizingira hoteli ya Bobi Wine

Image
    Police nchini Uganda wameizingira hoteli ambako mgombea wa urais nchini humo Robert Kyagulanyi, al maarufu Bobi Wine, katika mji wa Hoima magharibi mwa Uganda ambako ndiko alipo na maafisa maafisa wake wa kampeni. Bobi ametuma ujumbe wake wa twitter akisema kuwa alilazimika kutumia njia ndefu kufika mjini humo baada ya wanajeshi kufunga barabara ambayo alitarajia kutumia. "Wametufuata kwenye hoteli yetu na kuizingira ," alitweet. Televisheni ya Uganda NTV alitweet ujumbe kuwa " lengo la operesheni hiyo bado halijajulikana ". Bobi Wine alituma picha za polisi wakiwa nje ya hoteli alimokuwa:

Siku 16 za kupinga Ukatili Manyara kufanyika Yaeda Chini

Image
  Manyara Siku 16 za Kupinga Ukatili wa kijinsia, Mkuu wa kitengo cha Jinsia mkoa wa Manyara  Mkaguzi msaidizi wa jeshi la polisi Pili Saburi amesema wamepanga kufanya maadhimisho hayo  Yaeda Chini wilayani Mbulu ambapo kumekuwa na vitendo vingi vya kikatili. Amesema wameamua kuingia zaidi  vijijini ambapo  hapafikiki kirahisi kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi maeneo hayo badala ya Mijini palipozoeleka mara nyingi ili nao wapate uelewa na muamko wa kutumia kituo cha polisi kilichofunguliwa katika eneo hilo kuripoti vitendo vya Ukatili. Ameeleza wanatumia maadhimisho hayo kufikisha elimu kwa jamii, wanafunzi mashuleni, majukwaa mbalimbali, nyumba za ibada na kupitia njia ya redio za kijamii zilizopo mkoani Manyara. Amesema maadhimisho hayo yamekuwa na matokeo mazuri ambapo wamezidi kupokea wateja wapya ambao wengi wao wanadai walikuwa hawafahamu kwamba vitendo vya Ukatili wa Kijinsia ni jinai, walikuwa wanadhani ni sawa  Kukeketa, Vipigo ndani ya ndoa wakid...

Matumizi ya ndizi katika urembo

Image
       Mbali na kulika, ndizi zina manufaa mengine, hasa katika urembo wa ngozi. Ndizi zina virutubisho muhimu vinavyoboresha ngozi. Ndizi pia zina aina tatu za sukari zinazojulikana kama ‘sucrose’, ‘fructose’ na ‘glucose’. Hakikisha unanawa uso wako mara tatu kwa siku. Unapofanya hivyo unaondoa uchafu. Ndizi pia husaidia kuzuia chunusi. Hakikisha unanawa uso kwa sabuni ambayo inaendana na ngozi yako. Ikiwa ngozi yako ni ya mafuta, hakikisha unatumia sabuni ambayo itakuacha ukiwa mkavu na kama ngozi yako ina ukavu, jioshe na sabuni itakayokufanya uwe na unyevu. Kulainisha ngozi Changanya asali na ndizi moja iliyopondwa na upake kwenye uso na shingo. Nawa uso kwa maji ya fufutende baada ya muda wa nusu saa. Fanya hivi angalau mara moja kwa wiki. Kung'arisha uso Ndizi huwa na Vitamin C ambayo husaidia kuiweka ngozi kuonekana iking'aa. Kwenye ndizi iliyopondwa, ongeza vijiko viwili vidogo vya juisi ya limau na upake kwa uso na shingo. Osha kwa maji ya fufutende baada ya...

Mambo muhimu ya kuzingatia mwanamke anapojiremba

Image
    Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa ushauri na siyo kukurupuka. Siyo umemuona  fulani kapendeza na aina fulani ya rangi ya kwenye kope halafu na wewe ukakimbilia kupaka, utachekesha. Rangi ya mdomo nayo ni eneo lingine linalompendezesha mwanamke. Ukweli ni kwamba tunatofautiana sana midomo wazungu wanaita ‘Lips’ Kila mwanamke ana tofautiana midomo  na mwingine kwa hiyo hata rangi ya midomo nayo inakwenda sambambana aina ya lips na rangi ya ngozi ya mwili aliyo nayo mwanamke, siyo unajisiriba rangi ya mdomo halafu unaonekana kituko. Wasiliana na wataalamu wa urembo kwa ushauri zaidi. Kucha kwa wanawake ni eneo lingine linolatakiwa kuwekwa katika unadhifu. Kuna baadhi ya wanawake unaweza kukutana nao kucha zao zimelika aidha kwa kung'atwa au kwa kuliwa na fangasi. Ni vyema wanawake wenye tatizo hilo kumuona  mtaalamu wa ngozi kwa msaada wa ti...