Posts

MWANDISHI MWANAUME NA MWANDISHI MWANAMKE

info.masshele@gmail.com Je kunautofauti kati ya uandishi Wa mwanamke na uandishi Wa mwanaume?  ama kwa hakika bado hili ni swala la kimjadala zaidi, wapo wataalamu wanao ona kuwa kunautofauti baina ya uandishi huu na wengine wakiona hakuna tofauti katika uandishi huu Wa kazi za kifasihi.  Embu tuchunguze kazi mbili za kifasihu moja iliyo andikwa na Mwandishi mwanaume na Mwandishi mwanamke. Emanuel mbogo na Penina muhaando chunguza kazi zao kazi ya Nguzo mama ya Penina muhando na kazi ya Malkia Bibi Titi Mohammed ya Emanuel Mbogo Je Luna utofauti? Mambo yanayo sababisha utofauti huo ni yapi? Je kama kunaufanano nini sababu ya ufanano huo?

Nafasi ya mwanamke katika Jamii , Uislamu na mwanamke

Nafasi ya mwanamke katika jamii     Na Hawra Shamte @masshele KATIKA jamii nyingi mwanamke anaonekana kama chombo cha kumstarehesha mwanaume. Kabla ya Uislamu hadhi ya mwanamke ilikuwa chini kuliko kitu chochote kile, mtu alikuwa akimthamini ngamia wake kuliko mwanamke. Mwanamke alionekana kuwa ni duni na ni mchafu. Akiwa katika hedhi jamii nyingi zilikuwa zikimtenga kama mwenye ukoma. Kuzaa mtoto wa kike lilikuwa ni jambo la aibu katika bara la Arabu na ndiko watoto wachanga walikozikwa wangali hai kwa baba kuhofia huzuni. Bara Hindi nako kwa wale waliokuwa wakifuata mila ya Sati mwanamke anayefiwa na mumewe alizikwa na mumewe kwa kuwa Bwana wake kafa yeye hana budi kumsindikiza. Mila hiyo pia ilipatikana katika baadhi ya jamii za Kiafrika ambako Machifu walikuwa hawazikwi peke yao ni lazima waambatane na msichana wa kati ya miaka 14 hadi 17 kwa imani ya kuwa atakwenda kumstarehesha Chifu huko aendako. Hivyo mwanamke hakuhesabika kama kiumbe mwenye roho inayoweza kuj...

FASIHI INAVYO MKOMBOA MWANAMKE KIJINSIA

Namna fasihi inavyo weza kumkombona na kumkandamiza mwanamke. Kumekuwa na jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali na asasi katika jamii kwa ajili ya kuleta ukombozi kwa wanawake. Jitihada hizo hufanywa kutokana na kuwapo kwa ukandamizaji dhidi ya mwanamke, katika masuala anuwai ya uhusiano wa kijinsia. Suala la kukosekana kwa usawa kati ya wanawake na wanaume katika jamii si la Tanzania au bara la Afrika pekee, bali limekuwako duniani kote. Suala hili limekuwa likihusishwa na utamaduni wa jamii husika. Tofauti baina ya nchi zetu na pahali penginepo duniani ni kwamba, katika nchi kama Ufaransa, Marekani na Uingereza; harakati za kuleta usawa zilianza kufanyika mapema kupitia dhana ya Ufeministi ambayo baadaye ilisambaa sehemu mbalimbali duniani. Mary Wollstonecraft aliyeishi nchini Uingereza, alitoa kitabu mwaka 1792 kilichoitwa “A Vindication of the Rights of Woman”. Yeye hakuwa mtu wa kwanza kupata elimu ya ukombozi huo na haki za wanawake, lakini alikuwa w...

MATUMIZI YA LUGHA KATIKA USHAIRI PDF

USHAIRI NI MATUMIZI BORA YA LUGHA Dhana ya ushairi imefasiliwa na wataalamu mbalimbali kama ifuatavyo; Njogu na Chimera (1999: 87) wanasema kuwa, ushairi ni sanaa ya lugha inayoeleza jambo au wazo kwa njia ya mkato na kwa namna inayoteka hisia za msemaji au msikilizaji. Aidha Mulokozi (2017: 158) anasema kuwa, ushairi ni Sanaa ya lugha ya mkato yenye ubunaji inayosawiri au kueleza jambo, hisia, hali au maono kwa namna yenye kuvutia hisia na katika mpangilio wa maneno wenye urari wa wizani. Vilevile TUKI (2012: 609) wanaeleza kuwa ushairi ni sanaa ya utunzi wa mashairi, tenzi na ngonjera. Nae Wamitila (2012: 104) anaeleza kuwa ushairi ni sanaa inayotambulishwa na mpangilio maalumu wa sentensi au vifungu, mpangilio ambao una mdundo maalumu au ruwaza fulani inayounda wizani, lugha ya mkato, mafumbo na mpangilio usio wa kawaida wa vifungu Fulani. Hivyo, ushairi unaweza kufasiliwa kuwa ni utanzu wa fasihi unaotumia lugha teule na mpangilio fulani wa maneno badala ya kutumia lugha y...

JUMIA KENYA LAPTOPS WITH BIG OFFER

There is a wide selection of Jumia Kenya Laptops for sale at attractive discounted prices. You simply make your order at Jumia  and your new laptop will be delivered right on your doorstep. Here is what to expect when you visit the site for Jumia Kenya laptops. Jumia Kenya Laptop Types Available Notebooks Tablet PC Netbooks Ultrabooks Macbooks Jumia Kenya Laptops Brands available Acer Apple ASUS Dell HP Isurf Lenovo Microsoft Promate Samsung Sony Toshiba You will also find a wide array of other computing accessories at the store. Keep it here to learn when there are offers and discounts on laptops, computers, electronics and other items on Jumia Kenya. You can click the buy now button below now to find the laptop that talks to you. Read through the descriptions and compare prices as you go. Happy shopping.,   CLICK >>>> HERE >> > TO BUY

JINSI YA KUNUNUA BIDHAA NA JUMIA

Image
Maendeleo ya teknolojia yanafanya urahisi Wa maisha siku hadi siku Teknolojia ya kununua mitandaoni inayo ongozwa na JUMIA market ni kabambe zaidi  Faida za kununua Bidhaa JUMIA 1.Big offer 2. Utaletewa mpaka mlangoni kwako 3.utalipa utakapo pokea bidhaa yako na kuridhika nayo. Miongoni mwa bidhaa zinazo uzwa JUMIA ni, Nguo za rika zote bomba , vifaa vya kieletronic kama vile simu, nk Vifaa vya nyumbani , maofisini na kadhalika Ili kuona offer zao na kununua bofya kiungo kuona >>>> HAPA >>> Au shusha chini hadi palipo andikwa nunua Tanzania kisha bofya kuona WhatsApp+255766605392 kwa maelekezo zaidi.

HOW TO BUY WITH JUMIA IN KENYA WITH BIG OFFER

Image
Jumia Kenya’s site is very easy to navigate. Ordering from the online store is as easy as pie. In this post we look at how to shop on Jumia Kenya. Just follow these simple steps: How to Shop on Jumia Kenya Visit  Jumia  by clicking on the link Search for the items you need to purchase in the categories section to the top left corner or simply type in the name of the item you are searching for in the search field as shown below. Click on the  ‘Buy Now’  button to add the item to the shopping cart You can now  proceed to checkout , or you can continue shopping by searching and selecting more items until the shopping cart is filled with everything you need When done shopping, hover over the shopping cart to see the items you have purchased and click on  ‘Proceed to Checkout’ If you are a new customer, enter your email address to signup. Existing customers need only input their email addresses and password to log into their account. ...