MWANDISHI MWANAUME NA MWANDISHI MWANAMKE


info.masshele@gmail.com

Je kunautofauti kati ya uandishi Wa mwanamke na uandishi Wa mwanaume?
 ama kwa hakika bado hili ni swala la kimjadala zaidi, wapo wataalamu wanao ona kuwa kunautofauti baina ya uandishi huu na wengine wakiona hakuna tofauti katika uandishi huu Wa kazi za kifasihi.
 Embu tuchunguze kazi mbili za kifasihu moja iliyo andikwa na Mwandishi mwanaume na Mwandishi mwanamke. Emanuel mbogo na Penina muhaando chunguza kazi zao kazi ya Nguzo mama ya Penina muhando na kazi ya Malkia Bibi Titi Mohammed ya Emanuel Mbogo Je Luna utofauti?

Mambo yanayo sababisha utofauti huo ni yapi?

Je kama kunaufanano nini sababu ya ufanano huo?

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?