Posts

Showing posts from November, 2024

NAWANDA ASHINDA KESI YA ULAWITI MWANAFUNZI CHUO KIKUU

Image
  Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikiendeshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza kesi ya Jinai Namba 18853 Jinai ya mwaka 2024 ambapo mashahidi 11 walitoa ushahdi wao. Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.

Mkurugenzi wa WHO atoa pole kifo cha Dk Ndungulile

Image
  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Ghebreyesus. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Ghebreyesus ametuma salamu za pole Tanzania kufuatia kifo cha mkurugenzi mteule wa shirika hilo kanda ya Afrika, ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile. Kupitia ukurasa wake wa X, Tedros Gabreyesus amechapisha ujumbe akisema ” nimeshtushwa na kuhuzunishwa sana kusikia kuhusu kifo cha ghafla cha Dk. Faustine Ndugulile, Mkurugenzi mteule wa kanda ya Afrika wa WHO. “Pole zangu za dhati kwa familia yake, marafiki zake, Bunge na watu wa Tanzania”. Aliyekuwa Mkurugenzi mteule wa shirika hilo kanda ya Afrika, ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile. Dkt Faustine Ndugulile alichaguliwa rasmi nafasi ya Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika Agosti 27 mwaka huu, akichukua nafasi hiyo kutoka kwa Dr Matshidiso Moeti. Dkt Faustine Ndugulile amefariki hii leo Novemba 27, huko nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu.

Mitego 30 Ambayo Hutumiwa na Wanaume Kuwanasa Mabinti iko Hapa, Jinyakulie Kadhaa

Image
PICHA NA MTANDAO   Wanawake hupenda maneno matamu hata ikiwa sio kweli na huyachukulia kuwa mapenzi ya kweli Baadhi ya wanaume wmesomea usanii wa kuwapagawisha mabinti kwa maneno matamu huku wakifahamu wazi, ahadi zao ni wongo mkubwa Wao hutumia mashairi na mistari ya kumtoa nyoka pangoni na mara wakishafaulu, humtosa binti ya mtu wakati binti huyo akitaka mahusiano ya kweli Ni wazi wanawake hupenda maneno matamu hata ikiwa sio kweli na huyachukulia kuwa mapenzi ya kweli.  Baadhi ya ‘midume’ kwa sababu hii, wamesomea usanii wa kuwapagawisha mabinti kwa maneno matamu huku wakifahamu wazi, ahadi zao ni wongo mkubwa.   Wakati mwingine mabinti huwa wagumu sama kunasa lakini nao wanaume hutumia maneno matamu na ulimu uliopakwa asali kuwanasa,.  Wanaume wa aina hii, hutumia mashairi na mistari ya kumtoa nyoka pangoni na mara wakishafaulu, humtosa binti ya mtu wakati binti huyo akitaka mahusiano ya kweli. TUKO imekusanya badhi ya mistari na ndimi zilizotiwa asali ambaz...

ALIYEPITISHWA KUGOMBEA UENYEKITI WA KIJIJI KUPITIA CCM AFARIKI DUNIA

Image
Chama chateua mwanachama mwingine achukua fomu na kurejesha muda huohuo, chadai mazishi ya mwanachama wao ni jumapili . Na Adelinus Banenwa Aliyekuwa amepitishwa na chama cha mapinduzi kugombea nafasi ya uwenyekiti wa kijiji cha Isanju kata ya Ilamba wilayani Bunda  ndugu Tumaini Zakayo  (60) amefariki usiku wa kuamkia leo. Akizungumza na radio Mazingira FM  katibu wa siasa na uenezi CCM  kata ya Ilamba ndugu Chigala Mshangi Maijo amesema ni kweli mwanachama wao amefariki katika hospitali ya Kibara alipofika kupata matibabu baada ya siku ya tarehe 31 Oct kudai anasumbuliwa na tumbo. Chigala ameongeza kuwa ndugu Tumaini pamoja na wateule wengine wa chama cha mapinduzi katika kata hiyo walishiriki zoezi la urejeshaji wa fomu lililofanyika tarehe 30 Oct 2024 japo alitaja kuwa mgonjwa Sauti ya Chigala Mshangi Maijo Aidha Chigala ameongeza kuwa wao kama chama wamelazimika kuketi kikao cha dharula ili kuona wanawezaje kuiziba  nafasi ya mgombea huyo aliyetangulia mbel...

MATOKEO YA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI MLAMBAI

 Haya hapa matokeo ya darasa la 7 shule ya msingi mlambai NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE 2024 EXAMINATION RESULTS MLAMBAI PRIMARY SCHOOL - PS0705140 WALIOFANYA MTIHANI : 22 WASTANI WA SHULE : 147.5000  DARAJA C (NZURI) MADARAJA YA UFAULU WA UJUMLA JINSI A B C D E WASICHANA 0 0 7 2 0 WAVULANA 0 3 7 3 0 JUMLA 0 3 14 5 0 CAND. NO PREM NO SEX CANDIDATE NAME SUBJECTS PS0705140-0001 20171761736 M AGRIPA MECKDONALD MSHIU Kiswahili - A, English - D, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - B, Uraia - B, Average Grade - C PS0705140-0002 20181126834 M BLESSING GODFREY SHIRIMA Kiswahili - B, English - D, Maarifa - B, Hisabati - B, Science - B, Uraia - B, Average Grade - B PS0705140-0003 20181126837 M DENISI VENDELINI UTOUH Kiswahili - C, English - D, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - C, Uraia - D, Average Grade - C PS0705140-0004 20181126839 M EVANCE JOSEPH TESHA Kiswahili - C, English - D, Maarifa - C, Hisabati - D, Science - C, Uraia - C, Average Grade - C PS0705140-0005...