Pacome akabidhiwa tuzo ya mchezaji Bora wa mwezi

 Mchezaji Pacome


Shirika la Bima la Taifa (NIC) leo Desemba 18, 2023 limekabidhi mfano wa hundi ya malipo kwa mchezaji bora wa mwezi Novemba 2023 kwa klabu ya Yanga, Pacome Zouzoua yenye thamani ya Tsh 4,000,000/=.


Hundi hiyo imekabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Ndg Kaimu Abdi Mkeyenge.


NIC ndio wadhamini wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa klabu hiyo (NIC Player Month

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?