AJIRA ZAIDI YA 20,000 KUTOLEWA 2023
Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa kibali cha kuajiri watumishi 21,200.
Katika ajira hizo, kada ya walimu ni ajira 13,140 kwa shule za msingi na sekondari na kada ya afya ni ajira 8,070 kwenye halmashauri vituo vya afya na zahanati.
Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, TAMISEMI, utaratibu wa kuajiri unaanza leo Aprili 16, 2023.
Comments
Post a Comment