SAIDO ASAJIKIWA SIMBA
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga na Geita Gold, amesajiliwa na Simba SC, huu ni usajili wa kwanza kwa Simba tangu kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili. Nyota wengine kadhaa wanatakiwa kusajiliwa Simba SC, inayotaka kuimarisha kikosi chake kwaajili ya mashindano mbalimbali.
Comments
Post a Comment