Dunia uwanja wa fujo


Dunia uwanja wa fujo
Dunia uwanja wa fujo


 𝐃𝐮𝐧𝐢𝐚 𝐮𝐰𝐚𝐧𝐣𝐚 𝐰𝐚 𝐟𝐮𝐣𝐨

“Dunia uwanja wa fujo” inaelezea jinsi maisha yaliyopo duniani ni sawa sawa na fujo kwani kila mtu anayekuja duniani huleta fujo zake na baadae kutoweka. 


Mwandishi E.Kezilahabi anaelezea katika jamii kila mtu anakuja duniani kufanya fujo zake na kusababisha matatizo mbalimbali katika jamii yake kama vile mauaji, ukabila, umalaya, uchawi, ubakaji ulevi wa kupindukia nk. hivyo basi mwandishi anaamini kwamba katika dunia kila mtu anakuja na fujo zake na kutoweka, mfano mhusika Tumaini katika Riwaya hii ameleta fujo zake kama vile umalaya,  mauaji na mengine mengi na baadae kutoweka.


 JE WEWE UNALETA FUJO GANI DUNIANI?


Soma kitabu hiki na vingine vingi mtandaoni kupitia www.lantern.co.tz


Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?