Jinsi ya kuangalia Deni la gari
Je unataka kujua unadaiwa kiasi gani Kama faini ya gari yako?
Je umemwazimisha mtu gari lako na ungependa kujua iwapo alitenda kosa BARABARANI na kuandikiwa faini?
Hii hapa jinsi ya kuangalia Deni la gari lako kutokana na faini zitokanazo na makosa ya gari lako. Vitu vya kuandaa, andaa namba ya gari lako, Kisha ingiza msimbo wa gari lako baada ya kubofya >>HAPA>>
Iwapo unekuta Deni hii hapa jinsi ya kulipa Deni la gari lako
Zifuatazo ni njia za kulipia deni la traffic:
- Kupitia matawi ya benki:
- NBC
- NMB
- CRDB
- Kupitia mitandao ya simu Lipa kwa kutumia namba ya kampuni 001001 kisha weka kumbukumbu namba yako iliyopo kwenye TMS au receipt uliyopatiwa
Comments
Post a Comment