MSHITAKIWA AELEZA JINSI UTUNDU ULIVYOSABABISHA KIFO CHA MPENZI WAKE
Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.
Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.
Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.
Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.
Comments
Post a Comment