Posts

Showing posts from February, 2021

Ajira za ualimu Haven peace academy

Image
  We appreciate all those who help with our recruitment! For more information about teaching opportunities at HOPAC, please contact us at personnel@hopac.sc.tz or using the form. Teaching Opportunities Primary Primary Principal Grade 4 Teacher Kindergarten Teacher Art Teacher Music Teacher IT Teacher/ Google Specialist Middle School Math Teacher Bible Teacher French Teacher Geography & History Teacher PE Teacher Senior School Senior School Principal (Cambridge) Accounting and Business Teacher English Teacher Teacher Trainer/Mentor Special Needs Coordinator Library Specialist Job requirement; Committed evangelical Christian Fluent in English Bachelor degree in education or subject taught Three years teaching experience Basic word processing skills Send application letter and an up to date CV/Resume to personnel@hopac.sc.tz Other Opportunities Haven of Peace Academy accepts applications for  Student Teachers .  This is open to candidates from all countries.  To be ...

Dk. Bashiru ateuliwa kuwa katibu mkuu kiongozi

Image
  Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Dkt. Bashiru Ally kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kuanzia leo Februari 26, 2021. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Bashiru alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Dkt. Bashiru anachukua nafasi ya Balozi John Kijazi aliyefariki dunia Februari 17 mwaka huu. Wakati huo huo, Rais amemteua Dkt. Bashiru Ally kuwa Balozi. Kiongozi huyo mteule ataapishwa Februari 27, 2021 saa 3 asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Maajabu sita (6) ya juisi ya Tangawizi kiafya

Image
      Tangawizi ni kati ya viungo mahili vinavyochochea ladha nzuri katika vyakula vya aina mbalimbali na hivyo kuwavutia walaji kula chakula husika. Tangawizi pia inapowekwa kwenye vyakula vigumu kama nyama huifanya ilainike na hivyo kuweza kuiva kwa haraka zaidi. Leo nataka kukueleza msomaji wangu kuhusu hizi faida nyingine za kutumia juisi ya tangawizi kama ifuatavyo:- Hutumika kama kituliza maumivu. Husaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula tumboni. Huthibiti shinikizo la damu. Huboresha afya ya kinywa. Hukinga matatizo ya ngozi hasa chunusi. Husaidia kukuza nywele (kulinda afya ya nywele.)

Rais Magufuli avunja jiji la Dar, aipandisha hadhi Ilala

Image
     Rais Magufuli ameivunja rasmi Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kuanzia leo na kwa mamlaka aliyonayo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam kuanzia leo, uamuzi huu umetangazwa jioni hii na Waziri Jafo.

MAMBO MATANO UNAYOTAKIWA KUJUA KUHUSIANA NA HEDHI

Image
  Mambo 5 unayotakiwa kujua kuhusiana na hedhi   DR.MAYALA   Je unafahamu inakadiriwa kuwa, mwanamke hupata hedhi wastani wa mara 400 katika maisha yake? Pia, neno linalotumika sana kuwakilisha hedhi ni "period", neno hili lilianza kutumika kwa mara ya kwanza kwenye miaka ya 1822 likimaanisha tukio linalotokea ndani ya muda fulani au linalojirudia baada ya muda fulani. Leo hii tuangalie mambo mengine 5 muhimu kuyajua kuhusiana na hedhi. 1. Kwa wastani, mwanamke huanza kupata hedhi yake ya kwanza kabisa akiwa na umri wa miaka 12. 2. Mzunguko wa siku za hedhi huwa kati ya siku 21 hadi 35. Ingawa wengi huwa na mzunguko wa siku 28, lakini kuzidi wiki moja au kuwahi kwa wiki moja ni kitu cha kawaida. 3. Mwanamke huzaliwa na mayai milioni 1 hadi 2. Mayai haya, mengi hufa jinsi mwanamke anavyoendelea kuishi na ni mayai 400 tu ndiyo hukadiriwa kufika hatua ya ukomavu tayari kwa uchavushwaji. 4. Msichana anaweza kupata ujauzito kabla ya kuanza hedhi yake ya kwanza. Hii n...

Mafunzo kwa picha: Nyonga na Umbo lililojengeka la Ndoto Yako

Image
 Na Dr khamis, Hakuna ubaya wowote kwa mtu kutaka kupendeza. Swala la kuonekana mzuri au kuwa mtanashati limekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu hususani upande wa dada zetu. Si kitu cha ajabu maana tangu enzi za mababu , tunasoma katika historia jinsi mwanamke alivyosifiwa kwa uzuri na urembo wake. Swala la uzuri na urembo wa mwanamke linajadiliwa mara nyingi katika aya mbalimbali za misahafu ya dini zetu, kuonesha ni jinsi gani ambavyo hata Mungu mwenyewe anavyouthamini uzuri na urembo wa mwanamke. Si ajabu kuona jinsi ambavyo makampuni makubwa yanayojishughulisha na utengenezaji wa vipodozi na nguo, vitu ambavyo vinachangia sana katika kumfanya mwanamke aonekane mzuri na mrembo, yanavyotengeneza faida kubwa.  Sikatai kwamba kuna uzuri wa kuzaliwa, la hasha. Ni dhahiri kabisa wapo watu waliojaliwa kuwa na muonekano mzuri ambao wamezaliwa nao. Na mtakubaliana na mimi kwamba kuna baadhi ya vitu katika miili yetu ambavyo hatuwezi kuvibadilisha hata kama hatuvipendi, lakini...

AUDIO&VIDEO | Leo Da Really Ft. Baba Diamond – Namtaka Mwanangu

Image
  Download  [VIDEO] Download  [AUDIO]

DALILI, TIBA NA KINGA YA UGONJWA WA UTI

Image
 Na dr Mayala Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) husababishwa na vimelea kitaalamu hujulikana E. Coli. Vimelea hawa huishi huishi kwenye mfumo wa chakula bila kuleta madhara yoyote wawapo humo, ila wakiingia kwenye njia ya mkojo huleta maambukizi na kusababishwa ugonjwa wa UTI. Kutokana na sababu za kimaumbile, Wanawake huathirika zaidi na ugonjwa wa UTI kuliko wanamume, hii ni kwa kwasababu kuna ukaribu zaidi katika njia hizi mbili za chakula na mkojo. Na pale mtu anaponawa baada ya haja kubwa ni rahisi zaidi kuhamisha vimelea hivi vya E. Coli  kwenye njia ya mkojo pale ambapo hujifuta kuelekea mbele.  Na ndiyo sababu, kwa wanawake, hushauriwa kunawa kuanzia mbele kuja nyuma. Endapo utanawa kuanzia nyuma kuja mbele, kuna uwezekano wa kuhamisha vimelea hivi ambavyo husambaa hadi kwenye kibofu, na endapo hautotibiwa vyema, basi hupanda hadi kwenye figo. Pia, Wanawake huathiriwa sana na UTI kwa sababu wana njia fupi ya mirija ya mkojo  (urethra)  ambayo, inawapa ba...

28 New FORM 4 and Above Government Jobs UTUMISHI at NCT, PURA, MNH, DUCE and BMH - Various Posts

Image
  Overview: The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1)   On behalf of Muhimbili National Hospital (MNH), National College of Tourism (NCT), The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) and Benjamin Mkapa Hospital, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill (28) vacant post as mentioned in the PDF file attached; Click link below to download the file: Position: Various Posts Deadline for application is 02nd March, 2021. DOWNLOAD PDF FILE HERE!

Madhara ya kujichubua

Image
  Katika baadhi ya sehemu duniani watu wanaamini kuwa ngozi angavu huashiria uzuri, utajiri na uwezo(kifedha) alionao mtu.Katika baadhi ya sehemu watu wenye ngozi nyeusi huchukuliwa kuwa wapo chini ya kiwango, hii hupelekea watu hawa kutumia ving´arisha ngozi kama krimu, vidonge au nyenzo zingine kubadilisha ngozi zao.  Tafiti zinaonyesha kwamba wavulana na wasichana hupendelea kutumia bidhaa zinazong´arisha ngozi ili waweze kupata hadhi nzuri katika kundi la familia zao, na jamii. Kwa kweli,hata matangazo yanayoonyeshwa kwenye televisheni mbalimbali huonyesha kitu hiki. Mambo hayo yote huwa na athari kubwa juu ya mawazo ya vijana wa kiume na wakike ambayo hupelekea kuwafanya wachague chochote wanachomudu kati ya krimu au vidonge. Madhara ya kujichubua ni yapi? Mtu anaeyejichubua anaweza kupata kansa ya ngozi, chunusi, uvimbe katika ngozi, ngozi kuwa nyembamba,Kuongezeka kwa hamu ya kula na uzito,kutokwa na mabaka, pumu, kupata watoto wenye kasoro, kupata matatizo ya akili, ku...

UDSM Fully Funded Scholarships 2021 Academic Year

Image
  February 19, 2021  No Comments UDSM Fully Funded Scholarships 2021 Academic Year  The University of Dar es Salaam (UDSM) started in 1961 as a College of the University of London. In 1963 it became a Constituent College of the University of East Africa. It is situated in the Western side of the city of Dar es Salaam, occupying 1,625 acres on the observation hill, 13 kilometers from the city centre. It was formerly established in August 1970, as a National University, through the University of Dar es Salaam Act number 12 of 1970. It was established with three main objectives, namely: to transmit knowledge as a basis of action, from one generation to another; to act as a centre for advancing frontiers of knowledge through scientific research; and to meet the high-level human resource needs of the Tanzanian society. Applications are invited from suitably qualified candidates for PhD Scholarship in Renewable Energy tenable at the University of Dar es Salaam, Department of Me...

Job Opportunities at KaziniKwetu, Sales Officers

Image
    SALES OFFICERS  – FREELANCERS Kazinikwetu Ltd on behalf of client is looking for sales officers willing to work as freelancers for a marketing agency based in Dar es Salaam. Responsibilities Finding potential clients to offer company products. Handling sales and promotional activities Achieving sales budget Analysis of past data and sale figure for sales enhancement Generating more outlet for business expansion Qualifications Fluent in English and Swahili Computer Literate Very good experience in sales for marketing agencies The deadline for submitting the application is 28 February 2021 CLICK HERE TO APPLY

Ifahamu Afya yako kupitia rangi ya mkojo wako

Image
    Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihi kuhusu  afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwani rangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukweli juu ya afya yako. 1. Mweupe kabisa (Usio na Rangi): Unakunywa maji mengi. 2. Manjano iliyochanganyika na Kijani kidogo. Ni kawaida, una afya na Mwili wako una maji ya kutosha. 3. Manjano iliyo pauka.Upo kawaida tu. Endelea kunywa maji ya kutosha 4. Njano iliyo kolea. Upo kawaida lakini unashauriwa kunywa maji ya kutosha. 5. Njano inayokaribia kufanana na Kahawia au Rangi kama ya Asali. Mwili wako hauna maji ya kutosha. Kunywa maji kwa wingi sasa. 6. Rangi ya Kahawia. Huwenda una Matatizo kwenye Ini lako au Upungufu mkubwa wa Maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha na umwone daktari kamali hii ikiendelea. 7. Rangi ya Pinki inayokaribia kuwa kama Nyekundu. Kama hujala matunda yoyote yenye asili ya uwekundu, basi huwenda una famu kwenye kibofu chako cha mkojo. ...