HSLB: UTARATIBU WA KUREJESHA MIKOPO ELIMU YA JUU
HESLB imesema mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu ambaye hayupo sekta rasmi anatakiwa kurejesha TZS 100,000 au 10% ya kipato anacholipia kodi kwa mwezi. Aidha, baada ya miezi 24 ya kumaliza chuo, mnufaika ambaye hataanza kurejesha mkopo, atakuwa na tozo ya 10% katika deni lake.
Comments
Post a Comment