Posts

Showing posts from November, 2020

Notes za kiswahili form 1-4 KCSE pdf

  KISWAHILI NOTES Uhakiki wa kidagaa Kimemwozea  ( 3443 Downloads) Tumbo-lisiloshiba-Complete-guide  ( 5882 Downloads) Sarufi-na-Matumizi-ya-Lugha-F1-4  ( 12894 Downloads) MWONGOZO-WA-KIGOGO  ( 10927 Downloads) MWONGOZO-WA-CHOZI-LA-HERI  ( 12389 Downloads) MWONGOZO_WA_KIDAGAA_KIMEMWOZEA_1  ( 2037 Downloads) MWONGOZO WA TUMBO LISHILOSHIBA NA HADITHI ZINGINE  ( 11195 Downloads) MWONGOZO WA KIGOGO  ( 4914 Downloads) MWONGOZO WA KIGOGO  ( 4082 Downloads) MWONGOZO WA CHOZI LA HERI (1)  ( 4912 Downloads) MWONGOZO WA CHOZI LA HERI  ( 5437 Downloads) MSTAHIKI_MEYA_notes1  ( 1340 Downloads) MSTAHIKI MEYA MWONGOZO  ( 1212 Downloads) Kiswahili_notes1  ( 6018 Downloads) kiswahili ushairi  ( 6334 Downloads) KISWAHILI NOTES FORM 1 4 1  ( 4102 Downloads) KISWAHILI NOTES FORM 1 4  ( 5882 Downloads) kiswahili insha na ushairi  ( 5308 Downloads) KISWAHILI FORM 1 REVISION BOOKLET  ( 5026 Downloads) kiswahil...

Ajira nyingine 5000 za waalimu kutangazwa hivi karibuni, waliodanganya masomo waonywa

Image
  Katibu Mkuu Utumishi Dk Laurence Ndumbaro Makatibu wakuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Ofisi ya Rais Utumishi wametoa ufafanuzi kuhusu ajira za walimu nchini. Dodoma.Makatibu wakuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Ofisi ya Rais Utumishi wametoa ufafanuzi kuhusu ajira za walimu nchini.  Hata hivyo, Katibu Mkuu Utumishi Dk Laurence Ndumbaro amesema ajira zilizotolewa ni 13,000 lakini waliopata vibali ni walimu 8000. Dk Ndumbaro amesema pengo la walimu 5000 litazibwa wakati wowote kabla ya mwaka wa fedha 2020/21 haujaisha hivyo Watanzania hawapaswi kuwa na hofu kwa kuwa muda wa kuajiri bado upo. “Ni kweli tulipokea maelekezo kutoka kwa Rais kuwa tuajiri walimu 13,000, lakini mfumo hauruhusu kupata ajira nyingi kwa wakati mmoja,hivyo tunakwenda kwa awamu mbili,” amesema Dk Ndumbaro. Hata hivyo,  Katibu huyo amekiri kulikuwa na makosa kwa baadhi ya maeneo ikiwemo katika mfumo hata kupelekea baadhi ya maji...

Tofauti ya Kikumushi na kivumishi

 Ukumushaji Na uvumishaji upi utofauti? Kwa hakika hakuna tofauti kati ya vivumishi na vikumushi.” Vikumushi na vivumishi ni dhana mbili ambazo zimekuwa zikileta mkanganyiko mkubwa sana katika taaluma ya isimu. Maneno haya huweza kufanana na kufanya kazi sawa, lakini kwa upande mwingine huweza kutofautiana. Kama inavyojadiliwa hapa chini. Chuo kikuu cha Oxford (2005) wamefasili kikumushi kuwa ni neno ambalo linaweza kuwa kivumishi au kielezi ambacho kinaelezea neno au kundi la maneno mengine (tafsiri). Katika fasili hii maana ya kikumishi imetolewa kiupana kwa kiasi fulani, lakini bado kikumushi kinaweza kuwa zaidi ya kivumishi au kielezi, na kuwa kitenzi na aina nyingine za maneno. Khamisi na Kiango (2002:58) wameeleza maana ya kikumishi kuwa ni maneno ambayo siyo vivumishi asilia, lakini hufanya kazi kama vivumishi, yaani kazi ya kukumusha (kuongeza sifa au taarifa muhimu) nomino. Wanaendelea kusema kuwa vikumishi siyo vipashio vilivyo katika kiwango cha neno tu, bali ni pamoja n...

TOFAUTI ILIYOPO BAINA YA LUGHA NA LAHAJA

Image
  Je kunatofauti Kati ya lugha Na lahaja? Tofauti baina ya lugha na lahaja ni jambo ambalo watu wengi huliona rahisi. Ukimuuliza mtu ambaye anaijua lugha ya Kiswahili akuambie lahaja ni nini pengine atasema kuwa ni aina moja tu kati ya aina nyingi za Kiswahili. Baada ya hapo atakutolea mfano kama vile kimvita (Kiswahili cha Mombasa) kiamu (Kiswahili cha Lamu), kiunguja (Kiswahili cha mjini Zanzibar), kingazija (Kiswahili cha kisiwa cha Ngazija) kimwiini (kiswahilli cha kusini mwa Somallia), kingwana (Kiswahili cha mashariki mwa Zaire) n.k. Je mtu huyu amekwambia lahaja ni nini? Kusema kweli jibu lililoko hapa juu la tosha kwa mtu wa kawaida lakini lina upungufu kiasi hasa tunapoangalia ulimwengu wote kwa jumla. Katika baadhi ya nchi tutaona kuwa watu ambao hawafahamiani moja kwa moja waweza kujiita watu wa jamii moja na yenye lugha moja. Baadhi ya mifano inayotolewa ni Uchina. Ingawa wachina wengi hujiona kama watu wanozumgumza lugha moja baadhi yao hawawezi kuelewanana kwa kutumia...

Updated PDF File: Names of New Teachers Employed by Government Released by TAMISEMI | Download Here

Image
    Regional Governments and Local Authorities are a full ministry which is under the Presidency and managed by the Minister of State assisted by two deputies as managers. There is also the Secretary General who is the Chief Executive Officer of the Government’s activities.   One of the tasks of this Ministry is to coordinate all regional development plans with Local Authorities under the presidential office. The administration of this Ministry is under the Minister who is also a member of the Cabinet of Tanzania. The Ministry is responsible for regional development in all regions and districts, especially in ensuring that the infrastructure of each area in the construction of roads and buildings continues, and at the appropriate level.   TAMISEMI Tanzania has announced names of teachers being employed for primary and Secondary teaching job Vacancies that announced September this year of 2020.   To see list of all names of Secondary and Primary Schools Teachers ...

Mbowe, Mdee na wenzake si wanachama

Image
      Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema Kamati Kuu ya Chama hicho iliyoketi leo Nov 27,2020 imeazimia kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 waliopishwa juzi kuwa Wabunge Viti Maalum “wamekinajisi Chama na wamekataa kuja kwenye Kamati Kuu” ”Chama chetu hakijateua Wabunge wa Viti Maalum tunaona tu Watu wetu wanaapishwa na hatuna taarifa, hatujapeleka majina, fomu za Tume zipo ofisini Mama zetu hawa Dada zetu hawajajaza fomu, ila tunaona tu wanaapishwa” “Kamati Kuu imewavua Uongozi wale wote ambao walikuwa Viongozi kwenye Mabaraza kati ya hao Dada zetu 19 sitaki kupoteza muda kuwataja majina, kwahiyo kuanzia sasa hawapaswi kushughulika na lolote kama Viongozi na tumeelekeza nafasi zao zizibwe haraka”  

Makamu wa Rais Samia Suluhu amuwakilisha Rais Magufuli kwenye mkutano wa dharura wa SADC,

Image
     Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Felix Antoine Tshisekedi wa Congo DRC na Rais wa Emmerason Mnangagwa wa Zimbabwe baada ya kumalizika kwa mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa dharura wa pamoja baina ya SADC, ORGAN TROIKA, Nchi zinazochangia Vikosi vya Ulinzi na Amani vya Umoja wa Mataifa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  kwenye Kikosi cha Umoja wa Mataifa DRC, uliojadili kuhusu hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama katika Jumuiya ya Maendeleo kusini mwa Afrika na kuweza kuona changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika eneo la Siasa, Ulinzi na Usalama ili kwa pamoja kuweza kupata utatuzi wa mambo yatakayobainishwa katika mkutano huo uliomalizika leo Jijini Gaborone Nchini Botswana. kwenye mkutano huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Ujumbe wa...

Jobs opportunity at final pub kibaha

Image
  10 Job Opport   *THE FINAL PUB* in Pwani, located at Kibaha along side Coast Mart Supermarket (Near by CRDB Bank) will be officially opened soon and would like to recruit, for those with qualifications, passion, motivation and experience in hospitality to apply. *POSITIONS AVAILABLE* *1.* Waiters/waitress (6) *2.* Bartender (counter person) (2) *3.* Mixology( Cocktail person) (2) *QUALIFICATION AND EXPERIENCE* 1. Must be above 18 years of age. 2. With certificate of Hotel management course or Associated studies. 3. A minimum of one year experience in a similar role. 4. Excellent *customer care skills* 5. Ability to work under pressure and look after several things at once. 6. Fluent in English and Swahili, other languages will be added advantage. e-mail HOW TO APPLY Kindly send your detailed CV to * gonzigreat@gmail.com * with your  relevant documents including your birth certificate, academic certificates, a cover letter, three reacheable referees,copy of your identifi...

Job Opportunity at ABC Primary and Nursery School, School Secretaries

Image
  School Secretaries   JOB ADVERTISEMENT SCHOOL SECRETARIES ARE NEEDED ABC PRIMARY AND NURSERY SCHOOL IS LOOKING FOR THE COMPETENT SECRETARIES WITH THE FOLLOWING QUALIFICATIONS: DIPLOMA OR CERTIFICATE IN SECRETARIAL COURSE CERTIFICATE IN ADVANCED LEVEL SECONDARY SCHOOL EXPERIENSE IN SECRETARIAL WORKS FOR AT LEAST TWO YEARS FLUENCY IN SPEAKING ENGLISH SEND YOUR APPLICATION TO: DIRECTOR ABC PRIMARY AND NURSERY SCHOOL P. O. BOX 12346 DAR ES SALAAM APPLICATIONS SHOULD REACH THE SCHOOL ON OR BEFORE 3RD DECEMBER 2020

Breaking News: TAMISEMI: Ajira za walimu 2020

Image
 TAMISEMI Ajira Application System. The role of TAMISEMI is to coordinate and supervise regional development management and administration.  TAMISEMI coordinates rural and urban development management policy and strategies; coordinates Regional Secretariats activities and builds their capacity in institutional development strategies for integrated socio-economic development and financial development of Local Government Authorities. CLICK HERE TO SEE THE LIST About TAMISEMI President’s Office – Regional Administration and Local Government The role of the Ministry is to coordinate and supervise regional development management and administration. Thus, the ministry coordinates rural and urban development management policy and strategies; coordinates Regional Secretariats activities and builds their capacity in institutional development strategies for integrated socioeconomic development and financial development of Local Government Authorities. The Ministry also coordinates and s...

WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA SUDANI AMEFARIKI KWA CORONA

Image
  Waziri mkuu wa zamani wa Sudan, Sadiq al-Mahdi amefariki dunia kutokana na virusi vya corona.Mwanasiasa huyo amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu. Mahdi aliyefariki akiwa na umri wa miaka 84, ndiye waziri mkuu wa mwisho wa Sudan kuchaguliwa kidemokrasia kabla ya kuondolewa madarakani mwaka 1989 kwa mapinduzi ya kijeshi yaliyomuingiza mamlakani rais wa zamani Omar al-Bashir. Chama chake cha Umma chenye siasa za wastani, kilikuwa moja ya vyama vikubwa vya upinzani na Mahdi alisalia kuwa kiongozi mwenye ushawishi.