MAENDELEO YA TEHAMA NI AHUENI KWA WAANDISHI KATIKA KARNE YA 21
Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) Imechangia pakubwa katika kukua kwa sekta nyinginezo duniani. Nyenzo kuu ya TEHAMA ni kompyuta ambayo huwezesha kuchakata, kukusanya, kuchambua na kutoa taarifa. Kupitia vifaa mbalimbali vya tehama kama vile, kompyuta, simu n.k mtumiaji huweza kufikia intanet.
Internet ni mfumo wa kompyuta ambao huunganisha kompyuta zote duniani kupitia kiungo cha webu(www) ili mtu aweze kutembelea mtandao nilazima apitie kiungo/link .
Maendeleo ya TEHAMA na Mapinduzi mkubwa katika tasnia ya uandishi. Kupita tehama mwandishi huweza
1. Kuandika mswada, kufanya utafiti Huu ya wazo lake,
2. Kutafuta kampuni ya uchapishaji
3. Kuhariri mswada
4. Kuchapa
5. Kutafuta solo
6. Kuuza
Haya hutokana na muunganiko wa tehama na vifaa vyake, bapo kabla ya ujio na maendeleo ya tehama haya yasingeweza kufanyika.
Comments
Post a Comment