MADAI YA MIKOPO UDSM: VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI WAANZA KUCHUKULIWA HATUA, RAIS DARUSO ASIMAMISHWA KWA MUDA USIOJULIKANA
Aliyesimamishwa ni Rais wa Serikali ya Wanafunzi (DARUSO), Hamis Musa Hamis
Waziri wa Elimu alikipa Chuo hicho saa 24 kuwachukulia hatua wanafunzi waliotoa tamko kinyume cha utaratibu
Viongozi wengine waliosimamishwa masomo UDSM ni pamoja na Kasim Ititi-Mwenyekiti wa Bunge, Joseph Malechela-Waziri wa Mikopo, Silas Mtani-Mwenyekiti Mhimili wa Mahakama, Milanga Husein-Mwenyekiti CONAS na Hamis Thoba-Naibu Spika wa Bunge
Comments
Post a Comment