Posts

Showing posts from September, 2019

UPDATED: UDSM GRADUATION CEREMONIES 2019

Image
All candidates who successfully completed their studies and qualifies for the award of Certificates, Diplomas and Degrees of the University of Dar es Salaam for 2018-2019 academic year are hereby informed that the GRADUATION CEREMONIES for the conferment of these awards wil be held at the Mlimani City Conference Centre in two clusters. Click  here  for hiring of Academic Costumes See the attachment for more information   Attachment :  20190918_075346_UDSM_GRADUATION CEREMONIES 2019.pdf

Akamatwa baada ya kujificha pangoni kwa miaka 17

Image
Polisi nchini Uchina wamemkamata mhalifu ambaye amekuwa akijificha kwa miaka 17, baada ya kutumia ndege zisizokuwa na rubani kubaini pango alimokuwa akijificha.  Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka 63 ,kwa kwa majina Song Jiang amekuwa akitafutwa na polisi baada ya kutoroka jela ambapo alifungwa kwa kufanya biashara haramu ya kuwasafirisha wanawake na watoto, lakini aliweza kutoroka kutoka kwenye kambi ya jela mwaka 2002. Amekuwa akiishi ndani ya pango dogo na kukata mawasiliano ya aina yoyote na binadamu kwa miaka mingi. Polisi katika mji wa Yongshan walipokea taarifa kuhusu ni wapi alipo Song mwezi Septemba , kulingana na maelezo yao katika akaunti yao ya mtandao wa kijamii wa WeChat. Taarifa hizo ziliwapeleka hadi katika eneo la milima iliyopo nyuma ya mji anakotoka katika jimbo la Yunnan lililopo kusini mashariki mwa Uchina.Baada ya kushindwa kumpata katika msako wa kawaida , maafisa walituma ndege zisizokuwa na rubani za ziada ili kuwasaidia maafisa katika msako huo. ...

Jinsi unavyoweza Kuacha kuvuta Sigara

Image
Njia bora ya kuacha ni kuacha mara moja siyo kuacha taratibu, lakini hii inaweza kuwa changamoto kwa wengi. Ifanye nafsi yako itambue madhara yatokanayo na uvutaji wa sigara mfano kansa ya koo, kansa ya mapafu na kuziba kwa mishipa ya damu. Wakati wa kuacha kula chakula bora, kunywa maji mengi na jitahidi kuoga maji ya moto ili kuondoa sumu iliyopo mwilini.  “Afya ni mtu mwenyewe “ ni mmoja kati ya semi ambazo zinatumika kuelezea umuhimu wa afya ya binadamu. Suala la afya ni suala la mtu mmoja mmoja. Ni dhahiri kuwa kila mtu ana maamuzi na uhuru juu ya afya yake bila kuingiliwa na mtu.  Lakini bado kuna haja ya watu kwenda shule na kusoma kuhusu afya na kupata ushauri juu ya ya maamuzi sahihi ya afya yako.  Shirika la Afya Duniani (WHO) linatupa maana ya afya kuwa ni hali ya kuwa na utimilifu wa kimwili, kiakili na kijamii na siyo tu hali ya kutokuwa na ugonjwa.  WHO inaeleza kuwa magonjwa mengi yanatokana na mtindo wa maisha ya watu ambao unaweza kuwa ...

Global Digital Yatangaza Mafuzo na Ajira kwa Vijana

Image
GLOBAL DIGITAL LIMITED Maendeleo ya Sayansi na Technolojia yanaendelea kutengeneza fursa kila siku kwa vijana wa kike na kiume wenye kuitumia vizuri kwa kujiingizia kipato halali, hasa kwa upande wa mitandao ya kijamii. kwa kulitambua hilo, Kampuni ya Global Digital imetoa fursa ya Mafuzo na Ajira kwa vijana wenye mapenzi na kazi za mitandao ya kijamii,  wanaopenda kufuatilia Habari, Burudani na Maisha ya wasanii mitandaoni. Inazo nafasi kadhaa kwenye upande wa mtandao wa You Tube, zitakazotolewa kwa vijana wenye mapenzi (Hobbies) ya kufuatilia mtandao huu, ambao watapewa mafunzo ya miezi miwili yatakayowawezesha kuelewa kiutaalamu zaidi mtandao huo unavyofanyakazi na unavyoweza kubadilisha maisha ya mtu, kielimu, kiuchumi na kijamii. Vijana watakaofaulu vizuri mafunzo hayo, watapewa ajira ya kudumu katika kampuni. VIGEZO NA MASHARTI Kijana anayetafutwa awe na vigezo na sifa zifuatazo: Awe na Elimu wa Sekondari au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali ya ...

Nafasi za Kazi CRDB Bank Plc

Image
Job Title: Business Analyst CRDB Bank PLC is looking for suitable person to fill a vacant position of Business Analyst in the Department of Project Management Office at the Head Office, in Dar es Salaam. Job Purpose: The overall purpose of the role is to provide business analysis support to designated projects in order to ensure that project requirements both functional and non-functional are well articulated and effectively communicated to relevant stakeholders, project deliverables and outputs meet the specified requirements, standards and quality objectives. Effective support model for ICT systems and other technology deliverables produced by the project is defined and implemented before deliverables are formally handed over to designated users. Key responsibilities: Strategy & Planning To lead the requirements definition process which entails gathering, analysis and definition of user and business requirements from a diverse group of stakeholders To translate ...

NIDA WATOA NJIA RAHISI YA KUPATA NAMBA YA KITAMBULISHO MTANDAONI

Image
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewarahisishia  wananchi kwa kuweka utaratibu mpya wa kuipata   namba ya utambulisho wa Taifa (NIN)    kwa njia ya mtandao. Taarifa iliyotolewa na Nida jana Jumatano Septemba 25, 2019 kupitia kitengo cha mawasiliano na hifadhi hati ilisema namba hiyo sasa imeanza kutolewa kupitia tovuti ya mamlaka hiyo kwa muombaji kutembelea>>>   https://services.nida.go.tz/nidpotal/get_nin.aspx Taarifa ya Nida ilibainisha kwamba huduma hiyo itawarahisishia waombaji wa vitambulisho vya Taifa kupata NIN bila kwenda ofisi za mamlaka hiyo. Hatua za kufuta kupata namba ya NIN 1.Bonyeza kitambulisho cha Taifa 2.Fahamu namba ya utambulisho wa Taifa 3.Andika jina lako la kwanza, jina la ukoo, tarehe ya kuzaliwa, jina la kwanza la mama na jina la mwisho la mama 4.Bonyeza Tafuta

Ajira: manesi wanahitajika

Image
​​ Tiba Home Care  is  the perfect solution for seniors and others who aren’t ready to leave  their homes for an institutional setting or live with relatives, but because of illness or chronic  conditions need support to remain at home. We improve your life by providing compassionate, one-   on-one care in the comfort of your own home. Tiba Home Care is the mobile service under Tanzanian registered NGO known as,  V.E.S Foundation  which its headquarters are located at Sinza Mori in Dar es Salaam region. Who are we Looking For? We are looking for nurses who have been registered or enrolled by the nursing board of Tanzania including these Qualities. Job Title:  Nurse/ Care Assistant Job Setting:  Clients Premises/ Home Job Description: – Accurate use of Technology (Smart Phone) in providing our service – Going to a patients Home when requested by a Customer at any time of the day – Identify patients’ care requiremen...

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA SIKU YA JUMAPILI 22/09/2019

Image

MOFIMU: UCHAMBUZI WA MOFIMU

Matatizo ya Uchambuzi wa Mofimu Maneno yaliyo mengi katika lugha yanaweza kukatwakatwa katika mofimu zinazohusika, lakini yapo baadhi ambayo hayaingii kwa urahisi katika utaratibu unaojulikana, yaani hayakubali kufuata kanuni zilizo wazi. Yafuatayo ni baadhi tu ya mapengo yanayojitokeza katika kuainisha mofimu za maneno ya Kiswahili. Mofimu za umoja na wingi katika baadhi ya ngeli za nomino zinatatiza katika uainishaji wao, kwa mfano katika maneno yafuatayo: 47 a) chungwa a1) machungwa b) bega b1) mabega c) jiwe c1) mawe Maneno yote haya ni ya ngeli za 5/6, lakini tukiangalia mofimu ya umoja tunaona kuwa katika (a,b) hakuna umbo dhahiri la mofimu hiyo, ambapo katika (c) umbo linalojitokeza ni /ji/. Tuseme nini basi, kuhusu uainishaji wa maneno  {chungwa, bega}  ili tuweze kuyahusisha na  {jiwe}?  Tuyaainishe kama mofimu mbili mbili, yaani  Idambishi-ngeli  na  mzizi?  Tukifanya bivyo, ni lazima tuseme kuwa mofimu ya umoj...