INASIKITISHA: Aishi bila ulimi kwa zaidi ya miaka mitano “nimeuza kila kitu kwenda India”(+video)

Salim Mohamed mkazi wa Tuangoma DSM, anaishi bila ulimi kwa takribani miaka kadhaa sasa, Salim anasumbuliwa na kansa ambayo ilianza kama kipele mdomoni lakini kila baada ya muda kiliongezeka ukubwa na alipoenda Hospitali akaambiwa aende India.
Japo ilikuwa ni kwa mbinde kutokana na hali ya kiuchumi lakini Salim alifanikiwa kwenda India na alikatwa ulimi na kuwekewa nyama iliyotolewa kwenye paja lakini baada ya kurejea Tanzania nyama ile nayo imeisha na sasa hana ulimi kabisa, limebakia shimo tu mdomoni. Bonyeza hapa chini kutazama mwanzo mwisho.

credit AyoTv

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?