Vipengele vya uhakiki wa ushairi


Shairi ni tungo ya kinudhumu inayoweza kuimbika au isiimbike yenye lengo Fulani miongoni mwa kazi za kifasihi kama vile, kufikisha ujumbe Fulani, kuonya, kuburudisha n.k. shairi nilazima liwe na mguzo wa moyo.

Tunazo aina mbili za ushairi, ushairi ule unaofuata urari wa vina na mizani na ule ushairi ambao unazingatia au kutozingatia urari wa vina na mizani. Kimajina tunaweza kuita ushairi wa kimapokeo na ushairi wa kisasa.

Vipengele.
i . Muundo
ii. Mtindo
iii. Lugha
iv. Usambamba
v. Rithimu
Vi. Mchomozo

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?