Fasihi linganishi ni ule ulinganishaji wa kazi mbili za kifasihi kutoka kwa mwandishi mmoja au kazi ya Jamii moja na nyingine. Ulinganishaji huu huhusu pia kulinganisha fani nyinginezo.

Aisha ulinganishaji huweza kuongozwa na misingi ya ulinganishaji kama vile
Historia
Utamaduni
Itikadi
Falsafa
Maswala ya kijinsia
Dhamira
Fani

na kadhalika

Ulinganishaji wa kazi za fasihi huweza kuwa na dhima zifuatazo
-Kujua utamaduni, historian falsafa za Jamii nyinginezo
-kuweza kuzigawa kazi za kifasihi katika makundi ya kitaifa, kiafrika. na kiulimwengu
-Kujua ubora na udhaifu wa fasihi yako
-Kujua mwego wa mwandishi
-Kujifunza mbinu Mpya za uandishi
-Kukuza taaluma ya tafsiri
-Kujua chimbuko na maingiliano ya Jamii.


www.masshele.blogspot.com