 |
Picha kutoka eneo la tukio |
Mabweni ya shule ya sekondari ya Wasichana Ashira iliyopo Marangu mkoani Kilimanjaro yameteketea kwa moto, Mkuu Wa mkoa wa Kilimanjaro Bi Annie Mgwira, amedhibitiksha kutokea kwa tukio hilo lililotoke majira ya asubuhi na amesema tayari askari wa Zimamoto walitumwa eneo la tukio
Taarifa zaidi zitakujia hivi punde.
Comments
Post a Comment