DKT. JOHN KIANGO, TUKI, juu ya UUNDAJI WA KAMUSI SANIFU, 1995

Mahojiano haya yanakhusu uundaji wa kamusi, hususan Kamusi Sanifu ya Kiswahili. Dkt. Kiango pia anaongelea harakati mbalimbali za TUKI ikiwa ni pamoja na shughuli kadhaa za kitengo cha leksikografia huko Taasisini. SHUKRANI KWA PROFESA JOHN MTEMBEZI KWA KUFANIKISHA KUPATIKANA KWA MAUDHUI HAYA.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?