WANAWAKE KATIKA FASIHI YA KISWAHILI
Hapa tutachunguza mwanamke anavyo onekana katika kazi mbalimbali za kifasihi kama vile
Ushairi
Tamthilia
Hadithi
Riwaya
Ngomezi
Sanaa za maonyesho
Nyambi
Semi
Maombi
Matangazo ya kibiashara n.k
tutatalii namna watunzi mbalimbali wanavyo mtazama mwanamke na majukumu wanayo mtwisha katika kazi zao.
andika makala yeyote kuhusiana na mwanamke katika kazi za fasihi kisha Nitumie
Katika mail , info.masshele@gmail.com
Comments
Post a Comment