IKUFIKIE HII MWANA SIMBA




Vinara wa Ligi Kuu Bara, Simba wamerejea jijini Dar es Salaam leo wakitokea Morogoro.

Simba wamerejea jijini Dar es Salaam wakitokea Morogoro, hali ambayo imewashangaza wengi.

BASI LA SIMBA LIKIONDOKA MJINI MOROGORO LEO KUREJEA DAR ES SALAAM

Kawaida huondoka siku moja kabla ya mechi, lakini Simba wameamua kurejea Dar es Salaam siku mbili kabla.

Simba ilikuwa Morogoro kujiandaa na mechi dhidi ya watani wake Yanga kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili.

Yanga pia wameweka kambi mjini Morogoro kujiandaa na mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini.

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?