MKULIMA AMKA: HIZI HAPA FAIDA ZA UPIMAJI WA UDONGO


Leo nimekusogezea elimu juu ya kilimo ili kilimo chako kiwe na tija, Pengine ulikuwa unapata mazao machache kwa kutoujua udongo wa shamba lako,  na virutubisho muhimu vinavyo patikana au kukosekana katika udongo huo  
Bofya video hii umtazame mtaalamu kutoka Green Agriculture akitoa elimu juu ya udongo pia wasiliana nae akupe ushauri katika namba zinazoonekana katika video hiyo

Usiache kushare na wakulima wengine ili tuwe na uhakika wa chakula katika nchi yetu

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?