WATU MAARUFU WALIOGUSWA NA TUKIO LA MWANAFUNZI ALIYEPIGWA RISASI

Taarifa za kifo cha mwanafunzi Aquillina Akwilini aliyepigwa risasi kifuani na Polisi na kupoteza maisha jana February 16, 2018 akiwa kwenye daladala zinaendelea kuenea kwenye mitandao ya kijamii.
Inaelezwa kuwa tukio hilo lilitokea wakati Askari Polisi wakiwatawanya wafuasi wa upinzani waliokuwa wakifanya maandamano katika eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam.
Watu maarufu mbalimbali wameandika kwenye mitandao yao ya kijamii na kuonesha kuguswa na tukio hilo la kuuawa kwa Binti huyo, ikiwa ni pamoja na Mwanamuziki Shilole, Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe na Mwandishi wa Habari za Michezo Edo Kumwembe.


Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?