WATOTO 6 WAJITOKEZA KUGOMBEA UGAVANA , MAREKAN

Jimbo la Kansan nchini Marekani hivi karibuni limepitisha sheria ya kutoangalia kigezo cha umri kwa atakayejitokeza kugombea nafasi ya ugavana kwenye jimbo hilo jambo lililotengeneza mwanya kwa watoto pia kutangaza kugombea.
Mpaka sasa watoto wa kiume 6 walio chini ya umri wa miaka 18 wamejitokeza kuchukua na kujaza fomu za kugombea Ugavana kwenye jimbo hilo mwezi November mwaka huu.
Watoto hao ni pamoja na Tyler Ruzich wa chama cha Republican, Aaron Colman wa Independent, Joseph Tutera Jr., wa Republican, Dominic Scavuzzo, pia wa Republican, Ethan Randleas wa Libertarian na Jack Bergeson wa Democrat.

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?