Hii ni droo 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la Azam Saports


Ile droo ya 32 Bora za mashindano ya Azam Sports Federation Cup imefanyika leo Ijumaa, Januari 5, 2017 ambapo makundi hayo yamepangwa.

Timu 32 zilizofuzu kwenye raundi ya 32 bora ni: Ruvu Shooting, Mwadui FC, Dodoma FC, KMC, Tanzania Prisons, Yanga, Green Worriors, JKT Oljoro, Buseresere FC, Friends Rangers, Majimaji Rangers, Singida United, Pamba SC, Azam FC, Kiluvya FC, Mwadui FC, Mbao FC, Toto Africans.
Droo ya Kombe la  FA
KMC VS Toto Africans
Majimaji Vs Ruvu Shooting
Njombe Mji vs Rhino Rangers
Kiluvya United   vs  JKT Oljoro
Ndanda Vs Biashara United
Pamba Vs Stand United
Polisi Tanzania Vs Friends Rangers
JKT Tanzania Vs  Polisi Dar
Ihefu Vs Yanga
Mwadui Vs Dodoma
Green Warriors Vs  Singida United
Burkina FC Vs Tanzania Prison
Kariakoo Lindi Vs Mbao
Majimaji Rangers Mtibwa Sugar
Kagera Sugar Vs Buseresere
Shupavu Vs Azam
Mechi zitachezwa Januari 31 na Februari Mosi mwaka huu.

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?