Teknolojia: Roketi kuanza kusafirisha abiria duniani



Teknolojia mpya inayotengenezwa na mwanateknolojia na mfanyabiashara maarufu Elon Musk inategemewa kuweza usafiri kutoka mji mmoja kwenda mwingine kwa kutumia roketi kwa dakika chache tu.
Moja kati ya safari hizo imetajwa kuwa ni ile ya kutoka London Uingereza hadi New York Marekani kwa kutumia dakika 29 tu.
Musk ameeleza pia kuwa kufikia mwaka 2024, ataanza kuwasafirisha watu hadi sayari ya Mars na Kampuni yake ya SpaceX itaanza kujenga meli za kipekee zitakazofanikisha mambo haya ifikapo mwaka ujao.

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?