Posts

Showing posts from August, 2017

Roma akiamua kumuoa Mange Kimambi sawa tu” – Mke wa Roma

Image
Kwenye mitandao ya kijamii August 30, 2017 gumzo lilikuwa post ya mke wa Roma Mkatoliki , Mama Ivan kwenye Instagram yake baada ya kuelezea kipande cha wimbo mpya wa Roma ‘Zimbabwe’ akisema kila anapokisikia hupata wivu. Licha ya kudai kuandika maneno hayo kama utani huku wengi waliyachukulia serious hadi kupelekea Mange Kimambi kuyanasa na kisha kuyapost kwenye Istagram na kumuomba Mke wa Roma amruhusu awe mke mwenza ili amsaidie kumlinda Roma asiibiwe na wanawake wangine. Mama Ivan aliandika Instagram >>> “Kiukweli kila nikisikiaga huu msatari napata sanaaa wivu, utani utani hivi hivi mwisho wa siku inakuwa kweli, mimi mwenyewe alinianza kiutani utani hivi hivi, yani nyie!! wanaume hawa!! Kuolewa na msanii kunahitaji moyo”   Sasa baada ya post hiyo masshele blog.com zimemtafuta mke wa Roma na kufunguka akisema hakuwa serious bali kama Roma ataamua kumuoa Mange hatakuwa na usemi kwa kuwa mwanaume ndio mwenye maamuzi ingawa amedai hategemei kuona a...

Isimu Jamii

 Isimu Jamii (social linguistcs) - ni tawi la isimu (elimu ya lugha) linalochunguza namna lugha inavyotumika katika jamii na uhusiano baina yake. Tawi hili huzingatia matumizi ya lugha katika mazingira tofauti; aina mbali mbali za lugha na mazingira yake; uhusiano kati ya lugha na utamaduni wa jamii inayoitumia. Istilahi za Isimu Jamii Aina za Lugha Istilahi za Isimu Jamii Isimu (linguistics)  - ni mtalaa ambao huchunguza, huchanganua na pia kuchambua na kufafanua lugha kama mfumo wa mawasiliano baina ya wanadamu. Lugha  - ni chombo cha mawasiliano baina ya watu. Lugha huzingatia mpangilio maalum wa sauti, maneno na sentensi. Sajili   - ni mukhtadha/rejista mbalimbali au mitindo maalum ya lugha katika mazingira/hali mbalimbali. Mifano ya sajili ni kama vile lugha ya hospitalini, shuleni, sajili ya dini, biashara, kisiasa, michezo, Fonolojia  - ni tawi la sayansi ya isimu linaloshughulikia uchunguzi wa  mfumo wa sauti  katika lugha fulan...

Learning Swahili from the Source- Jifunze Kiswahili kutoka kitovuni

Image
INTRODUCTION Learning Swahili from the Source-   Jifunze Kiswahili kutoka kitovuni. We are the undisputable authority in Kiswahili in the world having been the source of news in Kiswahili for over 60 years. Powered by the two leading Kiswahili newspapers in the world Taifa Leo of Kenya and Mwananchi of Tanzania both Product of Nation Media Group, the premier media house of East and Central Africa. We have comprehensive teaching material in form of text, audio, pictures and video clips. The Swahili tutorials are organized to fit your level of language  competence. There is Beginners level, Intermediate level and Advanced level. The course will be of immense value to students of Kiswahili both in East Africa and abroad, their teachers, tourist, researchers and general lovers of Swahili language willing to learn it or advance it. Swahili hub-the home of Swahili - guarantees you the best service. Kiswahili Beginners KISWAHILI ELEMENTARY/BEGINNE...