Roma akiamua kumuoa Mange Kimambi sawa tu” – Mke wa Roma



Kwenye mitandao ya kijamii August 30, 2017 gumzo lilikuwa post ya mke waRoma Mkatoliki, Mama Ivan kwenye Instagram yake baada ya kuelezea kipande cha wimbo mpya wa Roma ‘Zimbabwe’ akisema kila anapokisikia hupata wivu.
Licha ya kudai kuandika maneno hayo kama utani huku wengi waliyachukulia serious hadi kupelekea Mange Kimambi kuyanasa na kisha kuyapost kwenye Istagram na kumuomba Mke wa Roma amruhusu awe mke mwenza ili amsaidie kumlinda Roma asiibiwe na wanawake wangine.
Mama Ivan aliandika Instagram>>>“Kiukweli kila nikisikiaga huu msatari napata sanaaa wivu, utani utani hivi hivi mwisho wa siku inakuwa kweli, mimi mwenyewe alinianza kiutani utani hivi hivi, yani nyie!! wanaume hawa!! Kuolewa na msanii kunahitaji moyo” 
Sasa baada ya post hiyo masshele blog.com zimemtafuta mke wa Roma na kufunguka akisema hakuwa serious bali kama Roma ataamua kumuoa Mange hatakuwa na usemi kwa kuwa mwanaume ndio mwenye maamuzi ingawa amedai hategemei kuona akioa mke mwingine kwa sababu dini hairihusu.
Bonyeza PLAY hapa chini kusikilizaFull Story..

Comments

Popular posts from this blog

HIZI HAPA SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

SMS na MESEJI 900+ za mapenzi

MIAKA 22 SASA TANGU KUZAMA KWA MELI KUBWA YA MV BUKOBA, TANZANI TUMEJIFUNZA NINI?