KADO AREJEA MTIBWA
Kipa Shabani Kado amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Mtibwa Sugar.
Kado amerejea kuichezea Mtibwa Sugar baada ya kuihama na kwenda Mwadui FC ya Shinyanga.
Bosi wa Mtibwa Sugar, Jamal Bayser ameithibitishia MASHELE BLOGkurejea kwa Kado.
"Kweli Kado amerejea na amesaini mkataba wa miaka miwili," alisema
Bosi wa Mtibwa Sugar, Jamal Bayser ameithibitishia MASHELE BLOGkurejea kwa Kado.
"Kweli Kado amerejea na amesaini mkataba wa miaka miwili," alisema
Comments
Post a Comment