Hatimaye Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa ‘Ujambazi’ Azikwa Kisutu, Dar
Masshele blog Hatimaye Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa ‘Ujambazi’ Azikwa Kisutu, Dar Mwili wa denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Salum Almas aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi kwa madai kuwa alikuwa Jambazi, Mei 14, mwaka huu maeneo ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar, ukiwa umebebwa tayari kwa kuzikwa katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar. TAZAMA MAZISHI HAYO HATIMAYE mwili wa denti wa UDSM ( Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) , Marehemu Salum Almas aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi kwa madai kuwa alikua jambazi, Mei 14 mwaka huu, maeneo ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa Julai 30, 2017 umezikwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar amba mamia ya watu walijitokeza, ikiwa ni siku 47 tangu auawe kwa tuhuma hizo, ambazo familia ya marehemu imezipinga vikali mahakamani kuwa ndugu yao hakuwa jambazi na kulitaka Jeshi la Polisi kukiri kosa. Mwili wa...