TAARIFA KUHUSU ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WANAOJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU 2017
Wanafunzi wa kidato cha sita waliohitimu mwaka huu May 2017 takribani 14,747 sawa na asilimia 23.2%, wamepangiwa katika vituo mbalimbali vya Jeshi kati ya wahitimu 63,623, wanatakiwa kufika kambini kuanzia 25-30 May.
Taarifa imetolewa na Mkuu wa JKT
Akiongea na ITV amesema Orodha ya waliochaguliwa katika kambi mbalimbali yanapatikana katika tovuti yao ya JKT. www.jkt.go.tz
Source: ITV (Habari
Comments
Post a Comment